Tag: nuukuu za maisha

  • 530; Unavyovihofia Vingi Havipo Kwenye Uhalisia.

    530; Unavyovihofia Vingi Havipo Kwenye Uhalisia.

    Habari ya siku rafiki, pole kwa changamoto ya Ugonjwa huu wa COVID-19. Nakutia Moyo usiogope tunakwenda kuvuka pamoja. Kila kitu hutengenezwa kuanzia kwenye akili zetu. Furaha, huzuni, matatizo, na kila aina ya vitu ambavyo hutusumbua na kutufurahisha huanzia ndani yetu. Vile unavyofikiri mara nyingi ndio huwa tatizo kuliko hata tatizo lenyewe, moyo wako ukijaa wasiwasi, […]

  • 529; HEKIMA: Ongeza Viwango Vyako Vya Kufikiri.

    529; HEKIMA: Ongeza Viwango Vyako Vya Kufikiri.

    Habari Rafiki yangu, leo ni siku ya pekee sana kwangu, kwani ndio siku nilizaliwa, naikumbuka hii tarehe na ninafurahi pamoja nawe. Nimekuandikia Makala hii uifurahie pamoja nami katika kukumbuka siku hii. Siku moja nilikuwa napita kwenye jingo lililokuwa linajengwa maeneo ya Mlimani City, jingo lile ni refu san ana linatamanisha. Wakati natafakari nikapata mawazo ambayo […]