#USIISHIE_NJIANI: KUWA MTU WA SHUKURANI.

Habari rafiki, Umeanzaje siku yako? Umefanya mazoezi? Umesoma kitabu? Pamoja na hali uliyonayo sasa hivi yaani hujafikia malengo yako kwa kiasi kikubwa bado una mengi ya kumshukuru Mungu. Embu watazame wasio na uwezo kama wako, watazame wanaokosa kula lakini wewe hujakosa mlo hata mara moja. Watazame wanaokosa maarifa kama haya, hawajui wafanye nini, hawana mtu […]