KITABU; Mbinu 101 za Mafanikio. – Jacob Mushi

Kitabu hiki ni mkusanyiko wa makala ninazoandika kila siku za HATUA ZA MAFANIKIO. Nimechambua makala 101 ambazo ukizisoma zinaweza kukupa mbinu na maarifa ya kukuwezesha usonge mbele zaidi kwenye kile unachokifanya. Kitabu hiki cha Mbinu za 101 za Mafanikio Kimejumuisha , Mbinu za Maisha na mafanikio, sms za mafanikio, siri ya mafanikio katika biashara, nguzo za mafanikio katika Maisha, siri ya mafanikio […]

KANUNI 10 ZA MAFANIKIO ANAZOPASWA KUZIJUA MJASIRIAMALI.

Habari rafiki, leo kwenye ujasiriamali tunakwenda kujifunza juu ya kanuni 10 ambazo unapaswa kuzijua wewe mjasiriamali. Ni imani yangu kwa kupitia makala hii utatoka na mwangaza kwenye kile unachokifanya. Kila mmoja anamtegemea mwenzake, kwa kupitia unachokifanya kuna watu wamerahisishiwa maisha yao. Wewe pia kuna watu wengi sana wanahusika kukufanya wewe uishi kwa urahisi. Ni muhimu […]