HII NDIO NJIA YA PEKEE YA KUISHI MILELE.

Kungekuwa hakunaga kufa kwa namna ninavyoona wanadamu hasa wa Africa wangekuwa wavivu sana kuliko viumbe wengine wote. Nadhani kungekuwa hakuna ambaye anajishughulisha sana kwasababu hakuna kinachomfanya afikirie mbali. Kifo kipo ili kuongeza thamani ya uhai wa mtu. Kama kungekuwa hakuna kifo thamani ya uhai ingekuwa ni ndogo sana. Wandamu wangekuwa hawajali sana kama ambavyo sasa […]

HATUA YA 323: Hii Ndio Sababu ya Wengi Kukosa furaha na Kutotosheka.

Kama kila kiumbe hai kitaweza kufuata vile kilivyotakiwa kuishi kila kiumbe kitatosheka. Mwanadamu ndie kiumbe ambaye anaongoza kwa kutokutosheka hapa duniani.  Kutokutosheka ni kile kitendo cha mtu kuacha kutazama vile ambavyo tayari amebarikiwa na kuangalia Zaidi vile ambavyo yeye hana ila wengine wanavyo. Usiache kutembelea Hapa Ujipatie Vitabu Bora vya Mafanikio na Biashara https://jacobmushi.com/patavitabu/ Kama umewahi […]