Tag Archives: tabia za mafanikio

521; HEKIMA: Serikali Yako Ina Sheria na Taratibu?

Kila serikali huendeshwa kwa sheria na taratibu mbalimbali ambazo huwezesha watu kuishi kwa pamoja na kupunguza matatizo mbalimbali. Nimejiuliza kama mpaka sasa kungekuwa hakuna serikali, wala mipaka ya nchi yaani mtu peke yake anaibuka tu anafanya kila anachotaka tungekuwa wapi? Ukweli ni kwamba kuna vingi tungekosa na kuna vingi vingepotea. Sasa kama ni hivyo wewe… Read More »

HATUA YA 308: Maoni ya Watu Wengine Juu Yako.

Tumezungukwa na watu wengi ambao wanatutazama kwenye yale tunayofanya kila siku. Wapo ambao wanatupenda na wanatamani kuona tunafika mbali vilevile wapo ambao wanatuchukia tu na wanatamani siku zote kuona tunateseka. Ni vyema tu ukaelewa hilo kwamba kuna watu wa aina hiyo kwenye Maisha yako na kile ambacho unakifanya. Ukiweza kutambua hivyo utajua namna bora ya… Read More »