538; Jinsi ya Kuwa Mtu Bora Kila Wakati.

Habari Rafiki, Ni muda mrefu umepita bila kunisikia kwenye uwanja huu wa Makala. Ninayofuraha kukwambia leo niandaa Makala bora sana kwa ajili yako. Kinachowafanya watu waendelee kufanikiwa kwenye Maisha yao na kuwa na furaha ni pale wanapoweza kuwa bora kila wakati. Mfano kampuni ya simu ili iweze kuendelea kuuza bidhaa zake ni lazima iwe inatoa […]

HATUA YA 324: Hakuna Anaejali, Kuliko Unavyotakiwa Kujali.

Ulishawahi kufanya jambo halafu matarajio yako yalikuwa ni watu wakuzungumzie au wakujali sana lakini ukaja kukuta hakuna hata anaehangaika na wewe? Hii inatokana na pale unapofanya jambo ili uonekane au usifiwe na mwisho wa siku unakuja kugundua kwamba wale ambao unawafanyia wala hawakufikirii. Usije ukapoteza muda wako kufanya vitu ili upate sifa Fulani, au uonekane […]

HATUA YA 304: Usipoacha Tabia Hii..

  Wakati unaendelea kulalamika na kutoa sababu nyingi za kujitetea kwa hali uliyonayo sasa hivi: Bado una muda mwingi wa kutumia simu yako kuperuzi kila kinachoendelea mitandaoni. Bado una muda wa kutazama tamthilia ndefu kwa masaa kadhaa. Bado una muda wa kukaa sehemu na ukapoteza muda ukiwasema watu na serikali jinsi ambavyo haijakufanyia vizuri. Bado […]

HATUA YA 300: Hiki Ndio Kiwango cha Udhaifu Wako.

Ukiona mtu anatumia nguvu kubwa kupambana na mtu asiye na nguvu hata nusu yake basi ujue mtu huyu ni dhaifu kuliko yule anaejaribu kupambana nae. Huwezi kushindana na mtu anaeongea kwa kutumia silaha njia pekee ya kuweza kusema wewe umeshindana nae ni kwa kutumia maneno kama yeye. Najua umewahi kusikia visa vya mtu kumpiga mke […]

JINSI YA KUJIJENGEA TABIA YA KUSIKILIZA NA KUJILETEA MAFANIKIO KATIKA MAHUSIANO YAKO NA WENGINE.

Habari za leo Rafiki yangu, ninatumaini unaendelea vyema na mapambano ya kufikia mafanikio makubwa. Ni muhimu utambue kwamba maisha hayatakaa yawe marahisi hivyo basi unachohitaji ni wewe kuwa na ujuzi wa namna mbalimbali ili uweze kuzikabili changamoto unazokutana nazo. Kazi yangu kubwa ni kukupa wewe mbinu mbalimbali ambazo utazitumia zikuwezeshe wewe katika changamoto hizo na […]

HATUA YA 298: Uaminifu Huu Umezidi Yote.

Wakati ambao hakuna mtu wa kukufuatilia wala kukupangia cha kufanya ndio tunaweza kujua ufanyaji wako wa kazi ukoje. Ile bidi utakayoionyesha kwenye kazi na hakuna mtu anaekutazama ndio bidi yako halisi. Vile vile kwenye mambo mengine, kama wewe haupo kwenye mahusiano zile tabia ambazo unakuwa nazo kipindi hicho ndio tabia zako halisi. Kama umekuwa mtu […]

HATUA YA 265: Mambo Yakufanya Ili Kuacha Tabia Mbaya yeyote.

Yafanya wasiwe na maisha bora na mojawapo ya hayo mambo ni tabia mbaya. Tabia hizi nyingi zimekuwa ni tatizo kwenye maisha ya watu kwani kuziacha imekuwa ni tatizo sana. Tabia nyingi mbaya huanza kujengeka kidogo kidogo na mwisho wake zinakuwa ni kama ulevi kwenye maisha yetu. Ni hatari sana kama utashindwa kufanya namna kuziacha kwani […]

HATUA YA 263: Vile Usivyotaka Kuonekana.

Kuna aina Fulani ya maisha ambayo mara nyingi unapenda watu wajue kuwa unayo au unayaishi lakini katika uhalisia hauishi maisha hayo. Ni kwekli sio sawa kuonyesha kila kitu wazi kwenye dunia lakini ni vyema sana yale maisha ambayo unataka watu waone na wajue kuwa unayaishi ukaanza kuyaishi kiuhalisia badala ya kujifanya. Ukiendelea kujifanya kuwa una […]

HATUA YA 251: Madhara ya Kuupuzia Vitu Vidogo Vidogo.

Tofali hujengwa kwa mkusanyiko wa punje moja moja za mchanga ambazo unaweza kuzibeba mkononi mwako lakini hujenga tofali ambalo huwezi kulibeba kwa mkono mmoja. Tofali nalo hujenga ghorofa kubwa sana ambalo binadamu na mali nyingi za thamani hukaa humo. Hadi unaliona jengo kubwa la ghorofa linalotokea lilianza kwa mkusanyiko wa punje ndogo sana ya mchanga. […]