#USIISHIE_NJIANI: LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA.

Habari rafiki, umeanzaje siku yako. Leo ni siku yetu mpya kwa ajili ya uzalishaji. Kuna watu wana tabia za kuacha kufanya mambo yao, hawaweki mipango yeyote ya Maisha yao wanabaki kusema lolote linaweza kutokea. Umemaliza chuo badala a kungoja lolote linaloweza kutokea ndio likupangie Maisha yako yaende vipi anza kujipanga mwenyewe mapema. Hakuna lolote linaloweza […]