517; Kupanga ni Rahisi, Kazi Kutekeleza.

Imekuwa ni kawaida sana kila Tunapouanza mwaka mpya kila mmoja hukimbizana na kupanga malengo ya mwaka mpya. Kuna wanaojua kupanga vizuri sana, kuna ambao hawajui hata kupanga wanaishia tu kusema, kuna wale wanapanga waandika lakini mwezi wa pili ukifika ukiwauliza waliandika wapi hawajui tena. Wewe binafsi unajijua upo kundi gani, yote hayo ni mazuri kabisa […]

TUSEMEZANE 425; MAMBO 37 YA NILIYOJIFUNZA MWAKA 2018.

Habari Rafiki nimekuwa na utaratibu wa kukuandikia mambo niliyojifunza kila mwaka na mwaka huu hii ndio mojawapo ya mambo ya muhimu kabisa niliyojifunza na ningependa nikushirikishe na wewe. 1 Hakuna kisichowezekana usiipe akili yako kikomo au kusema mimi siwezi hiki. 2 Usipofanya maamuzi magumu hutatoka hapo ulipo hata siku moja. 3 Penda kujaribu vitu ambavyo […]

MAMBO 5 YANAYOKWAMISHA WATU WENGI.

Habari Rafiki, leo tena tunakutana kwenye Makala yetu ya MBINU ZA MAFANIKIO. Tunaangalia mambo ambayo yamekuwa ni sababu ya watu wengi kukwama kimaisha. Ninaposema kukwama namaanisha vile mtu anakuwa kwenye hali moja kwa muda mrefu. Pata Kitabu: SIRI 7 ZA KUWA HAI LEO Kama ni kazi anafanya basi anakuwa hana mabadiliko yeyote ya nje au […]

JINSI YA KUANDIKA MALENGO YAKO NA KUANZA KUYATIMIZA KIRAHISI ZAIDI.

Habari za Leo. Ni furaha yangu kuwepo pamoja na ninyi hapa siku ya leo. Kabla hata hujaweka malengo yako ya mwaka huu jiulize maswali haya ya muhimu. Umeshajua kwanini Upo duniani? Una Maono gani juu ya hilo lililokuleta hapa duniani? Ukishapata majibu ya maswali hayo mawili tunaweza kuendelea kujifunza kwenye somo letu la kuweka malengo. […]