517; Kupanga ni Rahisi, Kazi Kutekeleza.

Imekuwa ni kawaida sana kila Tunapouanza mwaka mpya kila mmoja hukimbizana na kupanga malengo ya mwaka mpya. Kuna wanaojua kupanga vizuri sana, kuna ambao hawajui hata kupanga wanaishia tu kusema, kuna wale wanapanga waandika lakini mwezi wa pili ukifika ukiwauliza waliandika wapi hawajui tena. Wewe binafsi unajijua upo kundi gani, yote hayo ni mazuri kabisa […]