#USIISHIE_NJIANI: Wewe Sio Mti.

Mti unapokuwa kwenye mazingira ambayo hayasababishi mti usitawi unakuwa hauna namna yeyote ya kubadilisha mazingira yale ili uendelee kukua. Mara nyingi kinachotokea baada ya mti kuwepo sehemu ambayo haina rutuba na pia haina maji ni kukauka au kupambana na hali hiyo mwishoe ni kudumaa. Sasa wewe rafiki yangu sio mti, kama mazingira uliyopo yanakunyima fursa […]

#USIISHIE_NJIANI: UNATAKA KUJA KUWA NANI?

Habari za Asubuhi Rafiki. Hili swali kama unakumbuka ulikuwa unaulizwa ukiwa mdogo. Na mara nyingi watu wengi walikuwa wanachagua vitu ambavyo wataweza kuvisomea chou kikuu. Sasa makossa uliyokuwa unayafanya bila ya kujua ni kwamba ulisahau kuna vitu vingi ambavyo ungeweza kuwa hata bila ya kuvisomea shule. Kama unakumbuka ni wachache sana walikuwa wanachagua kuwa matajiri. […]

#USIISHIE_NJIANI: TAFUTA UTAMBULISHO WAKO.

Habari rafiki, Umeanzaje siku yako? Umefanya mazoezi? Umesoma kitabu? Kitu gani kinakutambulisha hapa duniani? Kama mpaka sasa unashindwa kujibu swali hili unahitaji msaada wa karibu sana. Kama binadamu unatakiwa uwe na kitu ambacho ni utambulisho wako wewe binafsi kwenye dunia hii. Utambulisho wako ni kile kitu ulichoamua kukifanya hapa duniani hadi unakufa. Unamkumbuka msaani wa […]