#HEKIMA YA JIONI: Shuka Chini.

Kuna nyakati ukitaka kupanda juu Zaidi ya wengine lazima ukubali kushuka chini. Unakubali kuonekana mtumwa kwa siku chache ili uweze kupata yale ambayo yatafanya Maisha yako ya badae yabadilike kabisa.  Kushuka chini na kunyenyekea haimaniishi ufanye mambo ya hovyo ambayo yanaondoa utu wako bali ni ukubali kufanya mambo halali haijalishi yanaonekana ni ya hadhi ya […]