520; HEKIMA: Kwanini Wengine Wanashinda?

Ni kwasababu wameamua kulipa gharama, Ni Kwasababu wameamua kujitoa kwa kila namna, Ni kwasababu wameamua na wapo tayari kukabiliana na changamoto zozote zitakazojitokeza. Ni kwasababu wamebadili mitazamo yao kutoka vile walivyokuwa mwanzo na sasa wana mitazamo kama wale waliofika mbali zaidi. Ni ukweli huo rafiki kama haupo tayari kulipa gharama huwezi kupata kile unachokitaka. Kama […]

Sababu kumi za kwanini unahitaji watu ili kufanikiwa maishani

Umeshawahi kuangalia mashindano yoyote? Au sherehe za ugawaji wa tunzo?/ Bai kama umewahi kuangalia kuna kitu ambacho kinajirudia kwa watu wote wanaoshinda. Huwa wanatoa insha ndefu na kutaja majina ya watu waliowasaidia kufika hapo walipo, na wakati mwingine huwa wakilia kwa furaha ya jinsi hao watu walivyohusika katika ushindi wao wa hiyo tunzo au hayo […]