405; Sio Lazima Ufanane Nao

Furaha itakuja pale ambapo utaanza kuishi Maisha ambayo moyo wako unataka na sio vile ambavyo watu wanataka uishi. Furaha ya kweli ipo ndani yako na utaweza kuipata kwa kuishi kile ambacho Mungu ameweka ndani yako. Hakuna haja ya kuishi Maisha vile ambavyo jamii inakulazimisha wewe uishi, vile jamii ambavyo imetengeneza na kutoa maana ya Maisha. […]

#HEKIMA YA JIONI: Kutazama Miguuni Ili Usijikwae Kunaweza Kukupoteza Unapoelekea

Uking’atwa na nyoka wakati mwingine ukiguswa na majani tu unaweza kushtuka na kudhani ni nyoka tena. Inapotokea umepatwa na changamoto uanatakiwa usikubali ziwe sababu ya wewe kuendelea kutembea ukiwa na umakini wa hali ya juu kiasi kwamba ukasahau kutazama kule unakotaka kufika.   Unaweza kuingia kwenye biashara ukapata hasara kubwa kiasi kwamba ukaishia kuwa mtu […]

USITAZAME LEO

Leo vita ni vingi sana, Leo hakuna mavuno bado. Leo wanakusema wengi Leo inaonekana kama ni ngumu sana. Leo inaonekana kama utakwenda kushindwa. Leo inakatisha tamaa sana. Leo unatoka jasho jingi sana. Leo unatumia nguvu nyingi sana.   Ukitazama leo utakata tamaa Ukitazama leo utarudi nyuma. Ukitazama leo utayaona magumu. Itazame ndoto yako. Yatazame mazao […]

MAMBO 5 YA MUHIMU ILI UWEZE KUFIKIA NDOTO ZAKO.

Habari za leo ndugu msomaji wa mtandao huu ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na kupambana katika kutimiza ndoto zako. Leo ninakwenda kukupa njia mambo ya muhimu sana ili wewe uweze kuzifikia ndoto zako na maono yako.   Jua kusudi lako Tunajua kabisa ili uweze kuishi maisha yenye furaha na utimilifu kwanza ni kulijua kusudi lako. […]