Habari Rafiki, unajua matatizo mengi uliyonayo yanasababishwa na ukosefu wa fedha za kutosha. Na kinachosababisha haya yatokee kwako ni wewe pale unapokosa vitu vichache sana vya kufanyia kazi. Leo nakwenda kukuonesha suluhisho la tatizo lako la kutokufikia malengo ya kifedha. ...
Hello Rafiki yangu, leo ni siku ya kumi yam waka 2020 siku zinaendelea kukatika bado kidogo tutasikia mwaka upo nusu. Je bado waendelea kusubiria kidogo ndio uanze kufanya mambo yako? Rafiki yangu utachelewa sana kama hutakuwa mtu wa tofauti. Mwaka ...
Furaha itakuja pale ambapo utaanza kuishi Maisha ambayo moyo wako unataka na sio vile ambavyo watu wanataka uishi. Furaha ya kweli ipo ndani yako na utaweza kuipata kwa kuishi kile ambacho Mungu ameweka ndani yako. Hakuna haja ya kuishi Maisha ...
Habari Rafiki, leo tena tunakutana kwenye Makala yetu ya MBINU ZA MAFANIKIO. Tunaangalia mambo ambayo yamekuwa ni sababu ya watu wengi kukwama kimaisha. Ninaposema kukwama namaanisha vile mtu anakuwa kwenye hali moja kwa muda mrefu. Pata Kitabu: SIRI 7 ZA ...
Habari za Leo Rafiki yangu wa Muhimu sana. Wewe ni rafiki yangu wa muhimu sana kwakuwa ndie unanifanya niandike. Naandika ili usome unufaike na maisha yako yawe bora zaidi! Ni furaha yangu kujua unaendelea vyema sana na majukumu yako. Ni ...
Ili uweze kutoka hapo ulipo sasa na kufika sehemu nyingine walipo watu wenye mafanikio makubwa ni muhimu sana kujua ni kitu gani kinawafanya muwe tofauti. Ni kitu gani kinawatenganisha na kuwafanya muitwe majina tofauti. Kitu cha ajabu ni kwamba wote ...
Leo jioni nikiwa nazishika ndevu zangu ghafla katika fikra yakanijia maneno ambayo niliambiwa miaka karibia kumi iliyopita. Kuna mtu mmoja aliniambia “wewe ukiwa na ndevu utakuwa mbaya sana”. Nikabaki najiuliza kwanini haya maneno yamekuja sasa hivi wakati nashika ndevu? Mbona ...
Mti unapokuwa kwenye mazingira ambayo hayasababishi mti usitawi unakuwa hauna namna yeyote ya kubadilisha mazingira yale ili uendelee kukua. Mara nyingi kinachotokea baada ya mti kuwepo sehemu ambayo haina rutuba na pia haina maji ni kukauka au kupambana na hali ...
Habari rafiki, kwenye maisha ya sasa ili uweze kuishi maisha yale ambayo unayotaka kwa zaidi ya 50% lazima uwe na njia mbalimbali za kukuingizia kipato. Usikubali kutegemea njia moja ya kukuingizia kipato. Hata kama sasa unategemea njia moja anza mpango ...
Habari za leo ndugu msomaji wa mtandao huu ni matumaini yangu kua ni mzima na unaendelea na shughuli zako vyema. Leo tunajifunza mambo matatu ya muhimu na ya lazima kua nayo ili uwe na furaha katika maisha yako nimejaribu kyatafakari ...