405; Sio Lazima Ufanane Nao

Furaha itakuja pale ambapo utaanza kuishi Maisha ambayo moyo wako unataka na sio vile ambavyo watu wanataka uishi. Furaha ya kweli ipo ndani yako na utaweza kuipata kwa kuishi kile ambacho Mungu ameweka ndani yako. Hakuna haja ya kuishi Maisha vile ambavyo jamii inakulazimisha wewe uishi, vile jamii ambavyo imetengeneza na kutoa maana ya Maisha. […]

#HEKIMA YA JIONI: Kuchukua Hatua.

Hatuhitaji watu wengi wanaoweza kulielezea jambo Fulani vizuri bali tunahitaji watu wachache wanaoweza kuchukua Hatua juu ya jambo husika. Tuna upungufu wa watu wanaochukua Hatua ndio maana hatuna maendeleo.   Badala ya kuendelea kuongea maneno matupu fanya kile kilichopo kwenye uwezo wako kwanza. Kwa kupitia hicho ndio utaona uwezekano wa kufanya makubwa Zaidi. Tuna wengi […]

Mambo 5 Ambayo kila Mjasiriamali Anapaswa Kuwa Nayo.

Habari za leo ndugu msomaji wa makala hizi kila siku ndani ya USIISHIE NJIANI. Ni matumaini yangu unaendelea vyema na maisha yako.  Leo tunazungumzia mambo ambayo kila mjasiriamali anapaswa kua nayo ili aweze kufanikisha kile anachokifanya. Tujifunze pamoja. 1. Mbunifu Mjasiriamali yeyote kama unataka kua wa tofauti na wenzako na kuleta thamani kwa mteja wako […]

#HEKIMA YA JIONI: Fanya Mabadiliko ya Kudumu.

“If you want to make a permanent change, stop focusing on the size of your problems and start focusing on the size of you!” T. Harv Eker Harv Eker Mwandishi wa Kitabu cha The Secret on the Millionaire Mind anasema ukitaka kuleta mabadiliko ya kudumu acha kutumia nguvu nyingi kwenye ukubwa wa matatizo yako na […]

HATUA YA 295: Hakuna Chenye Thamani Kinachopatikana Bila..

I never did anything worth doing by accident, nor did any of my inventions come by accident; they came by work. Plato Sijafanya kitu chochote kilicho cha thamani katika kufanya kwa ajali, wala hakuna uvumbuzi wangu uliokuja kwa ajali; vyote vilikuja kwa kufanya kazi. Plato Hii inatuonyesha kwamba chochote kile ambacho unafikiri kina thamani kubwa […]

Vinavyowezekana na Visivyowezekana.

Mara nyingi tunapenda Zaidi kufanya yale ambayo yanawezekana kwenye uwezo wetu wa akili. Sio vibaya lakini unakuwa hakuna cha tofauti ambacho utakipata. Watu wote ambao wameweza kugundua mambo makubwa na yakaleta mapinduzi kwenye dunia na kwenye Maisha yao walijaribu yale ambayo yalionekana kama hayawezekani kabisa. Vile vyote ambavyo vinawezekana vinakufanya wewe uwe sawa na wengine […]

HATUA YA 294: Unaposhindwa Jambo Unagundua Hiki..

Sometimes by losing a battle you find a new way to win the war. Donald Trump. Kwenye moja ya vitabu vya Rais wa Marekani Donald Trump amewahi kusema kuna nyakati tunaposhindwa ndipo tunapata njia za kushinda vita. Wakati mwingine tunayachukua makossa yetu na kuyafanya kama alama mbaya juu yetu. Hii inatokana na namna ambavyo uliambiwa […]

HATUA YA 252: Uko Hivyo Ulivyo Kwa Kuamua.

Wako waliopitia changamoto kubwa kuliko wewe lakini hawajakata tamaa. Wako ambao walipata hasara kubwa sana kuliko hyo ambayo unajitetea nayo lakini bado wakasonga mbele na sasa tunazungumzia mafanikio yao makubwa. Wako waliochwa na waale waliowapenda sana lakini hiyo haikuwa sababu ya wao kuacha kutimiza ndoto zao bado wakasonga mbele tu. Hiyo kwao haikuwa sababu kubwa […]

HATUA YA 130: Nguvu ya Uthubutu na Kuchukua Hatua

Jambo lolote unalotamani kulifanya linaanza na uthubutu wa kuchukua hatua ya kwanza, kama hutajaribu kuanza kupiga hatua hautaweza kwenda mahali popote. Mtoto mdogo anaweza kusimama kwa kuanza kusimama kidogo kidogo huku akiogopa na mara nyingine huanguka. Nakumbuka nilikuwa na mdogo wangu mmoja wakati akiwa mdogo aliogopa sana kutambaa, ikabidi tuwe tunamwekea kioo mbele yake. Anapojiona […]