KONA YA BIASHARA: Sababu za Kudumu na Sababu za Msimu.

Nimekuwa nakutana na watu wengi wanatamani sana kuingia kwenye biashara ukija kuwauliza ni kitu gani hasa kinawasukumu waingie watakwambia kuna matatizo Fulani wanataka wayatatue. Sasa watu wa aina hii wanakuwaga ni majanga sana kwasababu ataanza baada ya muda Fulani watu wamemzoea hivi yeye anakuwa amemaliza shida zake anaacha biashara. Vilevile anaweza kukutana na changamoto kidogo […]

KONA YA BIASHARA: Hii Ndio Njia Pekee Itakayokusaidia kupata Wateja Wa Kudumu.

Sifa ya binadamu ambayo tumejijengea na ni kubwa sana ni pale kujenga mazoea Fulani na mazoea yale yanakuja kuwa tabia zetu. Na siku zote mtu anapokizoea kitu anaweza kukichukulia cha kawaida sana na asikipe tena thamani yake. Unapotaka kuwa na bidhaa ambayo watu watahitaji sana kwenye maisha yao na wasiipate mahali kwingine unakuwa umejijengea namna […]

KONA YA BIASHARA: Mbuyu Ulianza kama Mchicha.

Nionyeshe mti mmoja imara ambao umekua kwa siku chache. Ukweli ni hakuna miti mingi ambayo hukua haraka haidumu wala mashina yake sio imara kama miti inayochukua muda mwingi kukua. Usitamani matokeo makubwa ya haraka ambayo hujayafanyia kazi utakuja kushindishwa kuyabeba au kuendeleza. Kama ambavyo tunasema mbuyu ulianza kama mchicha basi hakuna haja ya kukimbizana na […]

KONA YA BIASHARA: Biashara za Kufanya Kama Huna Mtaji Kabisa.

Unapokuja na sababu ya kwamba kinachokuzuia ni kukosa mtaji unakuwa umeizuia akili yako haki yake ya msingi kabisa ya kufikiri. Kwenye mazingira uliyopo kama una watu kumi tu wanaokujua na wewe unawajua hao wangetosha kuwa wateja wako wa kwanza kwenye biashara yako mpya. Moja; Kama watu hao kumi kuna kitu cha aina moja wanatumia labda […]

JINSI YA KUPATA WAZO LA BIASHARA

Habari rafiki, leo nataka nikuonyeshe njia mbalimbali za kupata wazo la biashara na mtaji. Inawezekana mwaka huu una mpango wa kwenda kuanza biashara yako mpya Makala hii itakua msaada kwako. Inawezekana pia una wazo la biashara lakini hujui utatoa wapi mtaji Makala hii pia itakwenda kukuonyesha mwanga. Njia za kupata WAZO LA BIASHARA:  Find something […]