Usipojua unachotaka

By | October 20, 2016
Huwezi kupewa,
Huwezi kuonyeshwa jinsi ya kukipata,
Hata ukipata hutajua kama umekipata maana hujui unachotaka.
Huwezi kujua cha kufanya utafanya kila kinachokujia mbele yako.
Huwezi kukataa utajikuta unakubali kila kitu,
Huwezi kuomba,
Huwezi kua na maono,
Huwezi kua na ndoto,
Huwezi kua na malengo,
Huwezi kua na mipango.
Hakikisha sana umejua unachokitaka.
Kingdom of Success
Jacob Mushi 2016

ushauri@gmail.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *