Kuhusu Sisi

Jacob Mushi ni Mwandishi, Kocha wa Maisha na Mjasiriamali.

Kiu yake kubwa ni kuona wewe unakuwa mtu bora, unatimiza ndoto zako na unaishi Maisha ya mafanikio. Kazi yake kubwa ni kuhakikisha wewe hauishii Njiani kwenye lile kusudi ambalo Mungu ameweka ndani yako.

Kwa kupitia kazi yake ya Uandishi ameweza Kugusa maisha ya maelfu ya watu kwenye mitandao ya kijamii na kufikia kualikwa kufundisha vijana, pia kualikwa kwenye vipindi vya Redio na Tv mbalimbali hapa nchini.

KAZI NA MAISHA

Ni mwanzilishi na Mkurugenzi wa kampuni ya NetPoa ambayo inahusika na masuala yote yahusuyo Teknolojia kama, Kutengeneza Tovuti, Kunasa Wateja kwa Kupitia Mitandao n.k. (Website Hosting, Website Designing & Digital Marketing.)

Vilevile amekuwa anaandika nukuu kwenye mtandao wa Instagram ambazo pia zimeweza kuwatia moyo watu wengi na wameweza kusonga mbele na kufikia mafanikio makubwa.

VITABU ALIVYOANDIKA:

1. USIISHIE NJIANI, TIMIZA MAONO YAKO  (HARDCOPY)

2. NUKUU ZA MAISHA (SOFTCOPY)

3. SIRI 7 ZA KUWA HAI LEO (SOFTCOPY)

4. MBINU 101 ZA MAFANIKIO (SOFTCOPY)

5. MAFANIKIO KWENYE BIASHARA (SOFTCOPY)

KUPATA VITABU HIVI BONYEZA MANENO HAYA

KWA HUDUMA NA USHAURI BONYEZA HAPA

KUPOKEA MAKALA KWA EMAIL BONYEZA HAPA

%d bloggers like this: