HUDUMA

Karibu kwenye mtandao wa Jacob Mushi ambao una lengo la kukuwezesha uwe bora na ili uweze kusonga mbele katika kufikia mafanikio makubwa na kutimiza ndoto zako. Na hizi ni huduma tunazotoa.

  • Makala na Nukuu

Kwenye Mtandao wa JacobMushi (www.jacobmushi.com) kuna makala zaidi ya elfu moja ambazo zipo kwenye makundi mbalimbali kama Biashara, Ujasiriamali, Maendeleo Binafsi n.k ambazo zitakusaidia uweze kupiga hatua katika maisha yako. Vile Vile kwenye Mtandao wa Instagram kuna nukuu zaidi ya elfu moja ambazo ninaandika kila siku nukuu hizi zimegusa maisha ya wengi unaweza kutembelea na ukajifunza ukanufaika bure kabisa. Nifuate Instagram hapa www.instagram.com/jacobmushi.

  • Vitabu.

Kwenye mtandao huu utajipatia vitabu mbalimbali maisha na mafanikio ambavyo vimeandikwa na Kocha Jacob Mushi. Vitabu hivi vitakuwezesha upige hatua kubwa kuelekea kwenye mafanikio makubwa. Kupata vitabu hivi BONYEZA MAANDISHI HAYA

  • USHAURI NA MAZUNGUMZO.

Ikiwa unahitaji ushauri au mazungumzo kwa ajili ya yale ambayo unapitia basi unaweza kuwasiliana nami kwa nambari 0654 726 668 au barua pepe jacob@jacobmushi.com na utapata maelekezo ya namna ya kufanya kazi pamoja.