UMUHIMU WA KUJITAMBUA NA KUELEKEA KWENYE MAFANIKIO

Kujitambua wewe ni nani ni hatua ya kwanza kwako kuanza kufanya mambo makubwa na kutimiza ndoto zako. Watu wengi wanashindwa kujitambua wao ni nani hivyo wanaishia njia bila hata kujua uwezo walio nao. Kama hujajua wewe ni nani huwezi kujua uwezo wako ukoje. Embu jiulize simba mkubwa ambaye hajitambui yeye ni simba hawezi kuwinda. Hawezi […]