USITAZAME LEO

Leo vita ni vingi sana, Leo hakuna mavuno bado. Leo wanakusema wengi Leo inaonekana kama ni ngumu sana. Leo inaonekana kama utakwenda kushindwa. Leo inakatisha tamaa sana. Leo unatoka jasho jingi sana. Leo unatumia nguvu nyingi sana.   Ukitazama leo utakata tamaa Ukitazama leo utarudi nyuma. Ukitazama leo utayaona magumu. Itazame ndoto yako. Yatazame mazao […]