?USHINDI UNAANZIA HAPA.⚡

By | July 16, 2016

Millionaire Mindset Training:
?Usizungumze vile ulivyo sasa zungumza vile unavyotaka kua.

?Usijiangalie upo kwenye hali gani sasa hivi na kujidharau angalia ndoto zako na malengo yako makubwa uongeze nguvu.

?Usikatishwe tamaa na watu wanaokwambia haiwezekani kufikia unachokitaka. Kaa mbali na watu hao kwani watakuambukiza upofu wao.

??Usivunjwe moyo na changamoto unazopitia kwani zinakujenga ili uweze kusimama mbele imara. Zinakufanya uweze kwenda safari ndefu zaidi.

?Usikubali kua wa kawaida kaa mbali na watu wanaopenda kua wa kawaida.  Tafuta washindi wenzako. Tafuta tai wenzako mruke pamoja.

?Hakuna kisichofaa kubadilisha kwenye maisha yako hivyo usijione wewe ni sa hivyo hivyo tu. Unaweza kua mtu yule unaetamani kua.

?Tumia ulimi wako vizuri. Tumia akili yako vizuri.
Tumia watu waliokuzunguka vizuri.
Tumia mitandao ya kijamii vizuri.
Tumia mazingira yako vizuri.
Kila kitu kipo kwa sababu njema. Watumiaji ndio tunakosea.

??Ushindi upo kwenye kila unachokifanya.

Karibu sana.

#JacobInspirationalTeachings2016.
#Contact+255654726668
Jiunge nasi hapa kwenye Darasa la Millionaires

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *