Hatuna usalama

jacobmushi
By jacobmushi
1 Min Read
Sitaacha kuirudia kila wakati hii sana… Tunatafuta pesa kwa bidii sana, tunatengeza na kugundua vitu vizuri sana ili tuache alama duniani lakini tunasahau kutengeneza watu wazuri wa kufaidi tutakavyoviacha.

Tumewasahau vijana na watoto wengi Wanapotea kwenye ulevi, uvutaji bangi madawa ya kulevya, ngono zisizo salama, n.k ukimuona mwanao yupo salama ukapumzika unakosea sana kuna mambo anayafanya na wewe huyajui hata kama hafanyi hao walioharibika hawatamuacha wataharibika nae.

 Sheria ya makosa ya Mtandao imeletwa wengi watakaongoza kukamatwa ni vijana. Kuna wakati natafakari naiona dunia haina watu. KAMA WEWE UPO SALAMA KWAKO AMBAO HAWAKO SALAMA WAKIWA WENGI HAWATAKUACHA WEWE. 
By Jacob Mushi.
Share This Article
Follow:
Jacob Mushi is a Tanzanian Author, Minister, Entrepreneur, Founder and CEO of NETPOA.
Leave a comment

Andika Maoni Yako Hapa

Discover more from Jacob Mushi

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading