VITABU

Karibu Kwenye Ukurasa wa Vitabu vya Kocha Jacob Mushi

Jiunge kwa Email Upokee makala Nzuri za Mafanikio.

Vitabu hivi vinapatikana katika makundi mawili, mfumo wa softcopy, na Hardcopy.

USIISHIE NJIANI, TIMIZA MAONO YAKO TSH 5,000/= (HARDCOPY)

Unapata Nini kwenye Kitabu?

Utafahamu Umuhimu wa Maono kwenye Maisha yako.

Utafahamu maswali 8 ambayo unapaswa kujiuliza na majibu yake ili uweze kusonga mbele.

a/. Kujitambua Wewe Ni Nani

b/. Kutambua Upo Duniani kwa Kusudi Lipi.

c/. Kujua Unapotakiwa kwenda.

d/. Kuwatambua Watu Wa Muhimu Kwenye Safari Yako.

e/. Kuzitambua Tabia Unazozitaji Kila Siku

f/. Utatambua Maarifa Gani Yanakufaa Zaidi.

Utaweza, Kutimiza Malengo Yako Kirahisi zaidi, Kuwajua Marafiki Sahihi, Kuishi Maisha ya Ushindi, Kurejesha Upya Nguvu Zako, Kufika katika Kilele cha Mafanikio,

Kinapatikana kwa kwa bei ya Tsh 5,000/= (elfu 5). Walioko mikoani tuwasiliane kabla hujalipia.

NUKUU ZA MAISHA TSH 10,000/= (SOFTCOPY)

Nukuu za Maisha (Malengo, Mafanikio, Mahusiano n.k) ni Kitabu kinachokupa muongozo wa maneno ya kutafakari kila siku asubuhi ili uweze kuwa na siku bora na yenye mafanikio.

Kitabu hiki kina nukuu 400+ ambazo zinakupa uwezo wa kufikiri vizuri, kuishi kwa furaha na kuweza kusonga mbele katika kile unachokifanya.

Nukuu za Maisha ni mjumuisho wa nukuu za furaha, nukuu za mahusianonukuu za upendo, falsafa za maisha, nukuu za mafanikionukuu za biasharanukuu za hamasa, nukuu za malengo, nukuu za kutia moyo, nukuu za kuongeza ujasirinukuu za kuongeza kujiamini na kadhalalika usiache kusoma kitabu hiki.

NUKUU ZA MAISHA ni mkusanyiko wa nukuu ninazoandika kwenye mtandao wa Instagram kila siku. Nimezikusanya zaidi ya 400 na utaweza kuzisoma kwenye kitabu kimoja.

SIRI 7 ZA KUWA HAI LEO 10,000/= (SOFTCOPY)

Utajifunza:

  • Kusudi la Wewe Kuwa Hai.

Ili uweze kuishi Maisha yenye mwelekeo mzuri na kujua ni kipi hasa unapaswa kufanya kila siku ni hadi utakapoweza kutambua kusudi la wewe kuwepo hapa duniani. Kitabu hiki kimeeleza namna yaw ewe kugundua kusudi lako.

  • Kugusa Maisha ya Wengine.

Kila unachokifanya hapa duniani kinaongezeka sana endapo kitakuwa kinagusa Maisha ya wengine. Kiwango cha Maisha uliyogusa ndio kiwango cha mafanikio yako.

  • Kutengeneza Historia Mpya.

Ni alama gani unataka kuacha hapa duniani? Haijalishi umeshafanya makosa mangapi kuwepo kwako leo kunakupa nafasi ya kutengeneza historia mpya. Kitabu hiki kitakupa mwongozo huo.

  • Kuishi Maisha ya Ushindi.

Unatakiwa uishi Maisha ya ushindi kila siku kwenye kila unalolifanya. Utajifunza mbinu za kupata ushindi kwenye kila unachokigusa na mikono yako.

MBINU 101 ZA MAFANIKIO 10,000/= (SOFTCOPY)

Kitabu hiki cha Mbinu za 101 za Mafanikio Kimejumuisha , Mbinu za Maisha na mafanikio, sms za mafanikio, siri ya mafanikio katika biashara, nguzo za mafanikio katika Maisha, siri ya mafanikio pdf, nini maana ya mafanikio, kitabu cha siri ya mafanikio, dira ya mafanikio, kanuni za kuwa Tajiri , njia kuu za mafanikio katika Maisha, historia ya matajiri duniani, tabia za matajiri, mbinu za biashara na utajiri, siri ya mafanikio, jinsi ya kupata utajiri kwa haraka, siri za matajiri duniani.

Utapata nafasi ya kuongezeka kwenye MAHUSIANO, BIASHARA NA ROHO YAKO PIA. Usiache kusoma kitabu hiki ili uweze kusonga mbele.

MAFANIKIO KWENYE BIASHARA 10,000/= (SOFTCOPY)

Kitabu Hiki Kimetoa Jibu la Maswali haya;

Kwanini Hujaanza Biashara hadi sasa?

Sababu ambazo watu wengi huzitumia kama kinga ya kwanini hawajaanza biashara na suluhisho za sababu hizo.

Kwanini Ulishindwa?

Sababu mbalimbali ambazo zimekuwa chanzo cha wewe kupata hasara au kushindwa kwenye biashara uliyoanza, na Hatua za kuchukua ili uweze kuwa mshindi.

Kwanini wewe Hukui Kama Wengine?

Chanzo cha wewe kudumaa kwenye biashara miaka na miaka bila ya mabadiliko yeyote. Hatua za kuchukua ili uweze kukua na kuongezeka.

Hizo ni baadhi ya mambo niliyogusia kwenye kitabu hiki. Unaweza kuona ni jinsi gani ambavyo unakwenda kupata suluhisho na kutoka katika ile sehemu ambayo wewe umekwama.

JINSI YA KUPATA VITABU HIVI:

Kununua vitabu hivi moja kwa moja kwangu katika mfumo wa nakala tete (soft copy) lipia kwenda kwenye namba za mwandishi ambayo ni 0654 72 66 68 (TIGOPESA) majina ya Jacob Moshi Baada ya kulipia utatuma ujumbe wenye majina yako, jina la kitabu pamoja na email kisha utatumiwa kitabu ulicholipia.

Unaweza pia kununua Vitabu Hivi Bonyeza maandishi haya https://www.getvalue.co/home/seller_collection/200

%d bloggers like this: