#HEKIMA YA JIONI: BADILI PICHA YAKO YA NDANI.

Vile unavyojiona ndani yako ndio kunafanya uwe mtu unaejiamini au mwoga. Kunafanya pia uwe mtu unaethubutu kuchukua Hatua au uwe mtu wa kusitasita na kuahirisha. Namna unavyojiona ndani yako kunaweza kuathiriwa na namna ulivyokuwa tangu ukiwa mdogo. Yale maneno ambayo ulikuwa unaambiwa mara kwa mara yanaweza kuwa sababu ya jinsi unavyojiona sasa. Vilevile unaweza kujiona […]