HATUA YA 248:  Unaambatana na Nani?

Ni bora mara elfu kukaa ndani peke yako kuliko kuambatana na marafiki wapumbavu. Ni bora kuishi ndani ya nyumba peke yako kuliko kujichanganya na makundi yasiyofaa. Haijalishi una maono makubwa kiasi gani, au ndoto kubwa kiasi gani unaweza kuharibu mwelekeo wako kwa kupitia aina ya makundi unayoambatana nayo. Kuna watu hawakufai hata kidogo kwenye maisha […]