#USIISHIE_NJIANI: HOFU YA KUTOKUJUA.

Habari rafiki, siku yako umeanzaje. Siku zote mtu anakosa ujasiri hasa pale anapokuwa na taarifa chache kwenye kile anachokifanya. Mfano unaweza kuogopa kuanza biashara kwasababu tu ya kutofahamu mambo ya muhimu juu ya  biashara. Ili uweze kuishinda hofu hii unapaswa kujifunza vitu Zaidi kwenye kile ulichoamua kukifanya. Hii itakusaidia wewe kuwa na taarifa za kutosha […]