USIYAFANYE MAISHA YAKO KUWA MAGUMU 4.

Kuridhika na Mafanikio ya Jana. Habari Rafiki, Leo ni siku nyingine tena ambayo tumepewa kama zawadi kwa ajili ya kwenda kuyafanya Maisha yetu yawe bora Zaidi. “NACHUKUA HATUA, NAJIFUNZA, NAWEKA JUHUDI NA BIDII, NAVUMILIA. MAFANIKIO NI HAKI YANGU, EEH MUNGU NIWEZESHE.” Mojawapo ya tabia ambazo zinawafanya watu wengi kushindwa kufanikiwa au kupoteza kile ambacho wamekuwa […]