Habari ndugu msomaji na mjasiriamali, ni wakati mwingine tena katika mtandao huu wa MoJa Group tunapokuletea Makala za mafunzo juu ya kutumia mtandao wa internet uweze kukuza biashara yako.
Kwanini mtandao wa internet? Katika kipindi hiki cha karibuni kumekua na watumiaji wengi sana wa mtandao wa internet hasa baada ya kuja kwa wingi kwa simu za mkononi aina ya smartphone kwa maisha ya sasa karibia kila mahali unapokwenda huwezi kumkosa mtu na simu yenye uwezo wa internet. Kwa mtu anaefikiri haraka haraka hasa wewe mjasiriamali hiyo ni fursa ya kipekee, watu wamekua bize sana na mitandao ya kijamii hasa kwenye facebook, Instagram na whatsapp, cha kufanya sisi kama wajasiriamali tunachofanya ni kuwafata huko huko.
Unawafataje?
MoJa Technologies Group inakuwezesha wewe mjasiriamali na mfanya biashara kuwafikia wateja wako kwa  kukupa huduma nzuri ya kutengenezewa blog yako nzuri na utakayoweza kuendesha mwenyewe. Unachotakiwa kufahamu ni kutumia simu yako ya kiganjani (smartphone) au computer yako.
Faida za kumiliki blog:
1.       Biashara yako kutambulika kimataifa
Blog inawezesha biashara/huduma unayoitoa kutambulika kimataifa kwa kua mtu yeyote popote duniani anaweza kutembelea blog yako na akaona kazi/huduma zako au bidhaa unazotoa, hii itaifanya biashara yako itambulike zaidi na watu wengi hata usiowajua
2.       Utunzaji wa kumbukumbu
Chochcote utakachokiweka kwenye blog yako kitakua salama hivyo basi kumbukumbu zako za biashara zinakua zipo salama. Inawezekana unataka kuandika kitabu unaweza kuanza kwa kuandika Makala kwenye blog wafuatiliaji wako uatawauzia vitabu.
3.       Kuacha alama.
Unapomiliki blog unaacha alama duniani blog yako itaendelea kua hai nay ale uliyoayaandika yatakuwepo. Nimeona shuhuda mbalimbali za watu waliosoma Makala kwenye mitandao wakachukua hatua zikabadili maisha yao, hivyo hata wewe unaweza kuacha alama, sio biashara pekee yake unaweza kumiliki blog kwa ajili ya kitu chochote unachotaka jamii ifahamu ni wewe unakifanya.
4.       Inakujengea nidhamu binafsi
Unapokua na blog yako unaandika kuhusu kitu Fulani ni muhimu ujiwekee ratiba maaalumu ya kuandika kama ni kila siku au kwa wiki mara moja  vyovyote vile itakujengea wewe nidhamu binafsi ya kufanya mambo mengine pia.
Kumiliki blog ni rahisi 
5.      Hakuna gharama kubwa sana haulipi gharama yeyote zaidi ya matengenezo basi ukimaliza ni wewe kuandika peke yake. Hii ni fursa ya kipekee kwako wewe mjasiriamali mwenzangu kumiliki blog yako ambayo utakua unaweka vitu kwa ajili ya wateja na jamii nzima kwa ujumla.
Hiyo ni njia ya kwanza ya kutangaza biashara ipo pia mitandao ya kijamii kama Facebook, Twitter, Whatsapp na Instagram hii mitandao inawatumiaji Zaidi ya Bilioni 1 dunia nzima, na kipindi hiki watu wamekua wateja wakubwa wa mitandao hii, tunatoa huduma na mafunzo juu ya kuitumia mitandao hii vyema na kujitengenezea faida ya kipato pamoja na biashara zetu, vipaji, ujuzi etc kujulikana kimataifa.
MoJa Technologies Group tunatoza gharama ya shilingi elfu sitini (60,000/=) kwa kutengenezewa blog pamoja na mafunzo juu ya kuitumia pia blog yako itaunganishwa na mitandao yote ya kijamii ili upate watembeleaji zaidi. Unatengenezewa blog popote ulipo duniani unatuma pesa kwa njia ya simu Mpesa0755192418 Tigo Pesa0654726668  kisha unatuma ujumbe mfupi wenye majina yako pamoja na maelezo kuwa umenitumia pesa. Kwa walio nje ya nchi unaweza kuwasiliana nasi kwa njia ya email mojatechnologiesgroup@gmail.com au kwa Whatsapp +255654726668

Karibu sana tulikamate soko la mtandao.

Andika Maoni Yako Hapa

Discover more from Jacob Mushi

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading