HATUA YA 313: Historia Itakuhukumu.

Kuna mambo ambayo tunafanya sasa wakai mwingine tunaweza kuwa tunabishana sana juu ya nani yupo sahihi na nani amekosea. Ukweli unaweza usielewe kwa haraka kwasababu wengi wanaweza kutumia mapenzi binafsi na kuangalia kile wanachokipata kwa wakati huo. Mambo mengine yakiwa magumu katika kuujua ukweli tunaachia muda kadiri muda unavyokwenda ndio tutajua nani alikuwa mkweli na […]