HATUA YA 297: Kuwa Mjinga, Kisha Jiamini.

“All you need in this life is ignorance and confidence; then success is sure.” ― Mark Twain Samuel Langhorne Clemens ambaye anajulikana zaidi  kwa jina la Mark Twain aliwahi kusema; kitu ambacho unakihitaji kwenye Maisha yako ili ufanikiwe kwa hakika ni ujinga na ujasiri. Hii ina maana ya kwamba wewe ukubali kwamba hujui chochote halafu uwe […]

#USIISHIE_NJIANI-  Jawabu la Unachokitaka ni Hili hapa.

Penda kujipa muda wa kusubiri matokeo unayoyataka wakati unayafanyia kazi. Bahati mbaya hatuna kipimo maalumu cha muda ili uwe na uhakika wa unachokisubiria. Kama mwanamke amebeba ujauzito inafahamika kabisa ni baada ya miezi tisa atajifungua. Na endapo itatokea tofauti na hapo muda ukizidi tunaanza kupata wasiwasi. Kwenye mafanikio hakuna mahesabu ambayo yapo na uhakika kabisa […]