HATUA YA 253: Hizi Ndio Nyakati za Kujua Kwanini Ulianza Unachokifanya.

Kwenye maisha kuna nyakati huwa zinatufikia ambazo zinakuwa ni kipimo ambacho kinaonyesha ukweli wa makusudi yetu kwa yale tuliyokuwa tunataka au tayari tunafanya. Unaweza kukutana na changamoto kubwa kiasi kwamba ukafikia hatua za kusema kama hali ni hii basi sifanyi tena hiki kitu. Lakini ukweli unabaki pale pale kwanini uliamua kufanya? Kabla hujakata tamaa ni […]