#HEKIMA YA JIONI:  Jifunze kwa Mwindaji Na Mfugaji.

Maisha ya mwindaji na mfugaji yanaweza kuwa mfano mzuri sana kwenye Maisha yetu ya kila siku na kama tutaweza kuwatazama vizuri watu hawa tunaweza kujua tupo upande upi. Mwindaji. Mtu wa aina hii siku zote anatumia nguvu Zaidi katika matendo yake. Ili aweze kuwinda lazima atumie nguvu zake. Mtu wa aina hii anawaza Zaidi kula […]