#HEKIMA YA JIONI: Kusudi la Mungu na Kusudi La Mwanadamu.

Mungu ametuumba na akatuleta duniani kwa makusudi yake yeye mwenyewe. Pamoja na hayo bado kuna watu ambao hawajaweza kutambua makusudi ya wao kuwepo hapa duniani. Niliwahi kusema kwamba chanzo cha maovu mengi yanayoendelea hapa duniani ni kutokana na watu wengi kuishi Maisha ambayo sio ya kwao yaani kutokutambua kwanini wapo hapa duniani. Mungu hajakuumba uje […]