HATUA YA 250: Mambo 4 ya Kufanya ili Kujenga Mahusiano Bora na Wengine.

Maisha yako hapa duniani ni kwa ajili ya wengine. Haiwezekani ukaishi maisha ya furaha na Amani kama hakuna unachokifanya kwa ajili ya kugusa maisha ya wengine. Tumeumbwa katika maisha ya kutegemeana. Kila mmoja anamhitaji mwenzake ili maisha yake yawe bora. Daktari hawi daktari ilia je ajitibu yeye ila ni kwa ajili ya maisha ya wengine. […]