HATUA YA 292: Ni Rahisi Sana Lakini…

Ni rahisi sana kulalamika Maisha ni magumu, Ni rahisi sana kutoa sababu nyingi zilizofanya ushindwe, Ni rahisi sana kuendelea kuishi Maisha yale yale uliyoyazoea, Ni rahisi sana kutumia muda wako kufanya mambo ambayo hayana mchango wowote kwenye Maisha yako. Ni rahisi sana kutumia muda wako kufuatilia Maisha ya wengine na huku ukiwa umeyasahau ya kwako. […]

KONA YA BIASHARA: Mabadiliko Yanakuja Utabaki Salama?

Kwenye chochote kile ambacho unakitegemea katika kukuletea pesa iwe ni biashara au ajira¬† ni vyema kujiuliza swali hili kwamba, kutokana na mabadiliko yanayokuja kila wakati hasa ya kiteknolojia je nitabaki salama kwa muda gani? Kama ni biashara basi angalia jinsi unavyoiendesha biashara yako sasa hivi na namna ambavyo mambo yanabadilika je unabadilika au unaendelea kutumia […]