Tag Archives: ujasiriamali

KANUNI 10 ZA MAFANIKIO ANAZOPASWA KUZIJUA MJASIRIAMALI.

Habari rafiki, leo kwenye ujasiriamali tunakwenda kujifunza juu ya kanuni 10 ambazo unapaswa kuzijua wewe mjasiriamali. Ni imani yangu kwa kupitia makala hii utatoka na mwangaza kwenye kile unachokifanya. Kila mmoja anamtegemea mwenzake, kwa kupitia unachokifanya kuna watu wamerahisishiwa maisha yao. Wewe pia kuna watu wengi sana wanahusika kukufanya wewe uishi kwa urahisi. Ni muhimu… Read More »

Mambo 5 Ambayo kila Mjasiriamali Anapaswa Kuwa Nayo.

Habari za leo ndugu msomaji wa makala hizi kila siku ndani ya USIISHIE NJIANI. Ni matumaini yangu unaendelea vyema na maisha yako.  Leo tunazungumzia mambo ambayo kila mjasiriamali anapaswa kua nayo ili aweze kufanikisha kile anachokifanya. Tujifunze pamoja. 1. Mbunifu Mjasiriamali yeyote kama unataka kua wa tofauti na wenzako na kuleta thamani kwa mteja wako… Read More »

KAMA UNA SIFA HIZI WEWE NI MJASIRIAMALI

Habari za leo mwanamafanikio. Leo ninataka kukuonyesha mambo machache ambayo yanaonyesha wewe ni Mjasiriamali. Katika dunia ya sasa tunahitaji watu wengi ambao ni wajasiriamali watu ambao wako tayari kuchukua hatua kubadilisha Maisha ya wengine pamoja na ya kwao wenyewe. 1.Decision maker (Mfanya Maamuzi) Kama wewe una uwezo wa kufanya maamuzi linapotokea jambo mbele yako bila kusita… Read More »