HATUA YA 345: Mambo Ambao Wengi Wanakwepa Kufanya.

Kwenye dunia kila mmoja analipwa kwa thamani anayoitoa. Aina ya Maisha unayoishi ni kutokana na thamani unayoipa dunia. Mshahara unaolipwa ni thamani unayoitoa kwa bosi wako. Makossa utakayokuwa unafanya ni kusahau kwamba thamani inaongezwa, na kama inaongezwa basi ujue hiyo uliyonayo kuna kipindi itashuka kama isipoongezwa. Yapo Mambo Ambayo unapaswa Kufanyia kazi Kila Wakati kwenye […]

HATUA YA 306: Vinavyotokea Vyenyewe.

Vitu vinavyotokea Vyenyewe Kwenye Maisha yako mara nyingi ni vitu ambavyo Huvihitaji, na wala havina mchango chanya kwako, ni kama magugu ndani ya shamba. Kutarajia vitu vitokee kwenye Maisha yako na hujaweka juhudi zozote basi ujue kitakachotokea hakina tofauti na magugu. Usipojitoa kupata kile ambacho unakitaka utajikuta siku zote matokeo unayopata sio yale ambayo unatamani […]

HATUA YA 295: Hakuna Chenye Thamani Kinachopatikana Bila..

I never did anything worth doing by accident, nor did any of my inventions come by accident; they came by work. Plato Sijafanya kitu chochote kilicho cha thamani katika kufanya kwa ajali, wala hakuna uvumbuzi wangu uliokuja kwa ajali; vyote vilikuja kwa kufanya kazi. Plato Hii inatuonyesha kwamba chochote kile ambacho unafikiri kina thamani kubwa […]

#USIISHIE_NJIANI:  ONA VITU KABLA HAVIJATOKEA.

Ili uweze kupata chochote unachokitaka lazima uanze kuona kwenye akili yako kabla hakijatokea kwenye uhalisia. Anza kutengeneza picha ndani ya fikra zako ndipo utaweza kupata kwenye uhalisia. Hakuna kitu kinatokea chenyewe kwenye maisha yako kama ajali lazima uanze kutengeneza picha na uifanyie kazi picha hadi itokee. Unajua muujiza unatokea bila ya sisi kutarajia au pale […]