522; HEKIMA: Kabla Hujakata Tamaa

Jaribu Tena, ndio nasema jaribu tena bila kujalisha umeshajaribu mara ngapi. Jaribu tena ukiwa na uhakika kwamba kuna jipya ulilojifunza kichwani kwako. Jaribu tena bila ya kuhofu labda utakosea tena. Kama tayari kuna somo umepata kwenye kushindwa kwako basi utakuwa na ujasiri wa kujaribu tena. Watu wengi hukata tamaa kabla hawajakaa chini na kujitazama ni […]

520; HEKIMA: Kwanini Wengine Wanashinda?

Ni kwasababu wameamua kulipa gharama, Ni Kwasababu wameamua kujitoa kwa kila namna, Ni kwasababu wameamua na wapo tayari kukabiliana na changamoto zozote zitakazojitokeza. Ni kwasababu wamebadili mitazamo yao kutoka vile walivyokuwa mwanzo na sasa wana mitazamo kama wale waliofika mbali zaidi. Ni ukweli huo rafiki kama haupo tayari kulipa gharama huwezi kupata kile unachokitaka. Kama […]

HEKIMA 518; Usipokee wala Kutoa Ushauri Wowote.

Kulikuwa na Bwana Mmoja alikuwa anafanya biashara ambayo inamlazimu sana kuzungumza na watu kila wakati. Yaani ili auze lazima aongee na mtu. Sasa kwasababu hiyo akajikuta anashauriwa sana na watu wengi. Kila mtu anaekutana nae anajaribu kumwelekeza njia nzuri ya kuifanya biashara yake. Siku moja akatafuta mtu mwenye hekima ili amshauri juu ya ushauri anaopokea […]

516; Nimegundua Njia ya Kutatua Tatizo lako la Kutofikia Malengo Yako Ya Kifedha.

Habari Rafiki, unajua matatizo mengi uliyonayo yanasababishwa na ukosefu wa fedha za kutosha. Na kinachosababisha haya yatokee kwako ni wewe pale unapokosa vitu vichache sana vya kufanyia kazi. Leo nakwenda kukuonesha suluhisho la tatizo lako la kutokufikia malengo ya kifedha. Ni kweli inawezekana kabisa Januari yam waka 2021 ikawa njema Zaidi kwako kwasababu tu utaweza […]