Haijalishi unapitia magumu kiasi gani wakati huu, naendelea kukutia moyo kwamba unakoelekea kuna matumaini makubwa, ndoto yako inakwenda kutimia.
Yawezekana umefika sehemu unaona giza mbele yako, unafikiri ni mwisho wa kila kitu. Lakini leo napenda kukwambia kwamba bado safari inaendelea na utafikia kile unachokipigania.
Usikate tamaa, mwisho wako ni mzuri sana.
Upo hai kwasababu maalumu.


Jacob Mushi
Kingdom of Success
+255654726668
ushauri@jacobmushi.com

Andika Maoni Yako Hapa

Discover more from Jacob Mushi

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading