Mafanikio Yanakuhitaji Uwe hivi (Binti)

Habari za Leo Rafiki na Mwanamafanikio mwenzangu. Ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema. Leo napenda nizungumze na mabinti ambao wanataka mafanikio. Mafanikio katika maisha na ndoa zao. Tumejifunza sana kuhusu mafanikio tukasema ni lazima uwe na Ndoto kubwa na uziandike kisha uzifanyie kazi. Pia Kwenye upande wa Mahusiano ni muhimu kuwa na Ndoto na malengo. […]

SEHEMU 2 ZA KUZINGATIA WAKATI UNATAFUTA PESA KWA BIDII.

Habari za Leo Rafiki yangu. Natumaini unaendelea vyema na kupambana pamoja na kutafuta mafanikio kwa bidii. Leo ninapenda tuangalie sehemu mbili za kuzingatia wakati tunatafuta pesa kwa bidii. Ni kweli Maisha ya sasa huwezi kuyafurahia hata kidogo kama huna pesa za kutosha. Na pesa za kutosha zinapatikana kwa kufanya kazi kwa bidii na kujifunza mambo […]

HIKI NDIO KINAKUZUIA USIFANIKIWE

Habari za leo Rafiki na mwanamafanikio mwenzangu. Ni matumaini yangu bado unapambana na hujakata tamaa. Ni muhimu sana uendelee mbele usikubali kubaki hapo ulipofikia. Kila unachokifanya kina mchango mkubwa sana katika mafanikio yako hata kama hutaona leo au kesho. Matokeo yanaweza kuonekana hata baada ya miaka kadhaa. Hivyo usife moyo wala kurudi nyuma bado safari […]

MAMBO UNAYOTAKIWA UYAPATE KWENYE MITANDAO YA KIJAMII.

Habari za Leo Rafiki na Mwanamafanikio mwenzangu. Ni furaha yangu kusikia unaendelea vyema na mapambano. Leo tunajifunza mambo matatu ya muhimu unayotakiwa uyapate ndani ya mitandao ya kijamii.  Mitandao hii imekua ni sehemu ambayo wengi wetu tunapoteza muda bila kufanya chochote cha maendeleo Kwenye maisha yetu. Ni muhimu sa ujifunze namna ya kuokoa muda wako […]

SIFA 5 ZA WATU WA KUFANYA NAO KAZI KAMA TIMU BORA YA MAFANIKIO NA USHINDI.

Mojawapo ya changamoto kubwa wanayopitia wengi sana ni kukosa timu ambayo inaweza kuwa sababu ya wao kufikia mafanikio makubwa. Kuna usemi unasema kama ndoto zako, maono yako utaweza kuyatimiza wewe peke yako basi hayo sio maono ya kutoka kwa Mungu. Vilevile kama utaweza kufanya wewe kila kitu na ndoto zikatimia basi hizo ndoto ni ndogo […]

MAKOSA 7 YATAKAYOFANYA UPOTEZE KILA UNACHOKITAFUTA

Habari za leo mpendwa Rafiki msomaji, ni matumaini yangu unaendelea vyema sana na majukumu yako kila siku. Leo katika kipengele cha mafanikio tunakwenda kuangalia mambo ambayo yanaweza kua sababu ya wewe kupoteza kila ulichonacho kama usipoyarekebisha. Karibu ujifunze nami. Kumsahau Mungu Mara nyingi wengi wakishapata mafanikio makubwa hujikuta wanamsahau Mungu na kudharau hata wale waliokua […]

KONA YA BIASHARA: JINSI YA KUPATA MTAJI NA KUANZA BIASHARA YAKO

Kuna mambo machache unatakiwa ujiulize Je eti ni kweli mwaka ujao utakuwa mpya kwako au ni zile kelele tu na hamasa? Una kitu gani unakitegemea kukipata cha tofauti ndani ya mwaka ujao? Umeajiandaa vipi kukipata? Upo tayari kuwa mpya ili upate hayo mambo mapya ya mwaka ujao? Tuachane na hayo twende kwenye mada yetu ya […]

KINACHOWATOFAUTISHA MATAJIRI NA MASKINI NI HIKI.

Ili uweze kutoka hapo ulipo sasa na kufika sehemu nyingine walipo watu wenye mafanikio makubwa ni muhimu sana kujua ni kitu gani kinawafanya muwe tofauti. Ni kitu gani kinawatenganisha na kuwafanya muitwe majina tofauti. Kitu cha ajabu ni kwamba wote tulizaliwa tukiwa na usawa, yaani kuanzia uwezo wa kufikiri, mazingira, na hata wakati mwingine upatikanaji […]

ZIFAHAMU TABIA 4 ZINAZOWAZUIA WAJASIRIAMALI VIJANA KUFANIKIWA.

Habari rafiki, ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema kabisa. Na ninaamini pia unaendelea kupambana ili kuifanya ndoto yako kuwa kweli. Usiogope wala usikate tamaa hakuna kitu kizuri chenye thamani kubwa kinachopatikana kirahisi. Endelea mbele. Kama tunavyojua mafanikio ni tabia, vilevile kutokufanikiwa ni tabia. Kama kuna tabia ambazo zinaweza kufanyika sababu ya watu Fulani kufanikiwa pia […]

BARUA MAALUMU KWA VIJANA AMBAO BADO HAWAJAOA AU KUOLEWA.

Habari za leo Rafiki, ni matumaini yangu kila mmoja anaendelea vyema kwenye Maisha yake na kupambana ili kupata matokeo bora Zaidi. Nina Imani kabisa unalifahamu kusudi la wewe kuwepo hapa duniani. Hujazaliwa kwa bahati mbaya, kila mwanadamu amekuja na uwezo ambao anatakiwa autumie hapa duniani ili aweze kuishi Maisha bora na yenye mchango kwa wengine […]