Ukisema unangoja mambo yawe mazuri ndio ufanye biashara, au ununue kitabu, au uanze kile kitu ulichokuwa unakitaka nikwambie ukweli unajidanganya.
Kama hiyo hali mbaya uliyonayo sasa hivi haijaweza kukufanya ufanye maamuzi ya kuanza kile unachokitaka usitegemee hali ikiwa nzuri ndio utachukua hatua.
Zaidi sana hali ikiwa nzuri ndio utasahau kabisa hata kama kuna watu huwa wanaandikaga Makala nzuri kama hizi za kushauri.
Chukua hatua sasa. Hali Ikiwa nzuri hutakuwa na sababu tena ya kuchukua Hatua.
JIUNGE NASI HAPA…. BONYEZA MAANDISHI HAYA.
Jipatie Vitabu vya Biashara na Mafanikio Hapa.. BONYEZA MAANDISHI HAYA
Tengeneza Kipato kwa kupitia Blog Bonyeza hapa.. BONYEZA MAANDISHI HAYA
Jacob Mushi
USIISHIE NJIANI
“Piga Hatua”