MAMBO 20 UNAYOPASWA KUYAFAHAMU KIJANA MWENYE UMRI KATI YA 20-30.

Habari rafiki na msomaji wa blogu hii. Jumapili yako imekwendaje? Leo tunakutana tena katika kona hii ya kujifunza. Nimekuandalia mambo 20 ambayo unapaswa kuyafahamu wewe kijana. Jifunze na uyafanyie kazi. Usisahau kujiunga na blog hii ili uendelee kujifuza Zaidi. Kwanza tambua kwamba miaka 15 ijayo utakuwa na watoto ambao watakuwa wanakulaumu na kukulalamikia kwa hatua […]

MBINU ZITAKAZOKUWEZESHA KUMILIKI MAISHA YAKO.

Kama maisha yako yanategemea 90% kutoka kwenye ajira bosi wako ameyadhibiti maisha yako. Unaweza kukuta mtu unapitia vitendo vya unyanyasaji kazini,  wakati mwingine huipendi kazi yako, inakubidi ubakie hapo hapo ulipo kwasababu hiyo kazi imekuwa kama maisha yako. Yaani bila hiyo kazi maisha yako yanakuwa sehemu mbaya sana. Kama maisha yako yanategemea mzazi zaidi ya […]

UJUMBE WANGU KWAKO KIJANA MWENZANGU

Vijana ndio tegemeo kubwa katika sehemu mbalimbali za kijamii, kidini, n ahata pia kisiasa. Kwenye serikali tuna maaskari polisi wengi ambao ni vijana pamoja na wanajeshi. Dini zetu pia zinahitaji vijana Zaidi kwasababu ndio pekee wenye nguvu kuliko wazee na watoto. Vijana pekee ndio wanaweza kufanya mambo makubwa na yakaleta matokeo makubwa. Vijana ndio wanahusika […]

SIMAMIA UNACHOKIAMINI

Desmond Thomas Doss (February 7, 1919 – March 23, 2006) Alizaliwa nchini Marekani Virginia Alikuwa ni mwanajeshi aliepigana vita ya pili ya dunia. Katika Maisha yake alijiwekea ahadi kwamba kamwe hatashika bunduki hii ni kutokana na Imani yake kwamba kushika bunduki ni sawa na kuua. Alipata upinzani mkubwa sana kwenye kambi ya jeshi wakati anafanya mazoezi na ilikuwa […]

VITU MBALIMBALI VYA KUFANYA ILI UWE NA UHURU WA KIFEDHA

Habari rafiki, kwenye maisha ya sasa ili uweze kuishi maisha yale ambayo unayotaka kwa zaidi ya 50% lazima uwe na njia mbalimbali za kukuingizia kipato. Usikubali kutegemea njia moja ya kukuingizia kipato. Hata kama sasa unategemea njia moja anza mpango wa kutengeneza njia nyingine kwa ajili ya vipato. Biashara nyingi kubwa zinaweza kujiendesha zenyewe na […]

Mambo uliyokuwa huyajui Kuhusu Ajira

Habari za Leo Msomaji wetu. Tunakwenda kuzungumzia kwa kifupi juu ya ajira na waajiriwa na jinsi ya kujitoa kwenye kongwa hili. Ni kweli tunategemeana katika maisha yetu mwenye biashara anategemea wafanyakazi ili aweze kukuza zaidi biashara yake. Lakini bado hiyo haitakiwi kuwa sababu ya wewe kutofanya kitu kingine na kubakia unategemea mshahara peke yake.  Mabadiliko […]

Mambo 5 Yanayoonyesha Unachokifanya Sio Kusudi Lako

Habari za leo Rafiki yangu wa Muhimu sana. Natumaini leo yako inaendelea vyema. Tunakwenda kuangalia mambo matano yanayoonyesha kua unachokifanya sio kusudi la wewe kuwepo duniani. Karibu ujifunze pamoja name. Kukosa furaha. Kama unachokifanya hakikufanyi unakajisikia furaha ndani ya moyo wako yaani hufurahii kukifanya moja kwa moja hilo sio kusudi lako. Kaa chini tafakari ujue […]

Jinsi ya Kuchukua Hatua na Kuanza (How to Start).

Habari za Leo Rafiki na Mwanamafanikio mwenzangu. Ni furaha yangu kusikia kwamba unapiga hatua na kusonga mbele kila siku kwenye kile unachokifanya. Leo tunajifunza Jinsi ya Kuanza jambo unalotaka kulitimiza maishani mwako. Inawezekana umehamasika sana, umejifunza mengi sana humu lakini bado hujaanza. Bado unajishauri na kusema mwakani nitaweka malengo nianze kuliishi kusudi langu, mwakani nitaanza […]

NGUVU YA TAARIFA KATIKA MAONO NA NDOTO ZAKO.

Habari Rafiki,  natumaini unaendelea vyema.  Pole na majukumu mbalimbali ya kutimiza kile kinachokufanya uwepo hapa duniani. Leo tunakwenda kutazama Nguvu ya Taarifa Juu ya Maono na Ndoto  zetu.  Kama tunavyojua katika ulimwengu wa sasa mawasiliano yamekua rahisi sana.  Na hii imeletwa na mapinduzi ya teknolojia yanayoendelea kuvumbuliwa kila siku.  Ninafurahishwa sana na teknolojia mpya zinazotokea […]

Nguzo 10 za Mafanikio

Habari za Leo ni matumaini yangu u mzima na unaendelea vyema. Leo tuanajifunza nguzo 10 za mafanikio yako. Ukiweza kuzisimamia nguzo hizi lazima utaona mabadiliko na kusonga mbele kuelekea kwenye ndoto zako. Karibu tujifunze pamoja mpaka mwisho. Jua kusudi la kuzaliwa kwako. Nguzo ya kwanza na ya muhimu sana ni wewe kutambua kwanini ulizaliwa. Upo […]