Mtu pekee na wa kwanza unaeweza kumbadili hapa duniani ni wewe.

Mara nyingi tunakua tunatamani watu fulani wabadilike wawe katika hali fulani tunazozitaka sisi. Ukweli ni kwamba huwezi kumbadili mtu ila mtu anaamua kubadilika mwenyewe. Mtu wa kwanza kuamua kubadilika yeye mwenyewe anatakiwa uwe ni wewe kabla hujatamani kuibadili dunia, kubadili pale unapoishi,  kubadili marafiki ulionao anza kubadilika wewe. Ukishabadilika kuba baadhi ya vitu vitakuacha vyenyewe, kuna […]

Jiulize maswali haya kwenye chochote unachokifanya ili uongeze ubora.

Habari za leo rafiki yangu mpendwa ni furaha yangu kuona wewe ni mzima na umeweza kusoma ujumbe huu leo. Leo tunakwenda kuona juu vitu vya muhimu kujiuliza kwenye chochote kile unachokifanya iwe ni ajira, biashara binafsi, upo chuoni unasoma, kwenye ndoa yako, mahusiano yako na wengine. Ili uweze kua bora zaidi klna kuliko mtu yeyote lazima […]

Ukuaji wako ni sehemu kuu tatu.

Mwanadamu anaongozwa na sehemu kuu tatu katika maisha yake na sehemu moja ikiwa na matatizo maisha yake yote yanaweza kuharibika.  Sehemu hizi tatu lazima uzingatie ukuaji wake kila sehemu kutokana na mahitaji yake ya ukuaji.  Mara nyingi hua tunakoseaa tunakuza sehemu moja nyingine tunaacha hivyo inatuletea shida kwenye sehemu zilizobakia.  Sehemu hizo tatu ni:  1. […]

Unaujua mchango wa marafiki kwenye maisha yako?

Marafiki ulio nao wanachangia kwa kiasi kikubwa juu ya tabia yako, mapato,  na pia  baadae yako.  Kama kuna kitu cha muhimu cha kuchunga na kua makini wakati unachagua ni marafiki. Marafiki ndio  wanasababisha baadhi ya tabia kwenye maisha yetu. Marafiki wanachangia pia hali uliyonayo sasa hivi. Kama unataka kufika mbali na kua na mafanikio makubwa […]

Kile unachokipanda utavuna.

Ni mara nyingi  tumekuwa tunasikia usemi huu “kile apandacho mtu ndicho atakacho kivuna” ukweli ni huo lakini wengi hatuuchukulii usemi huu kwa makini. Wengi wetu tumekua tunapanda vitu vibays ndani ya akili zetu kila siku bila kujijua na wengine tunajua. Unategemea ubongo wako uzalishe nini kama unaujaza Breaking News  za kila aina?  Unategemea ubongo wako […]

Chukua Hatua Ubadili Maisha yako.

Maisha yako hayatabadilika kwa kufikiri chanya peke yake,  maisha yako hayatabadilika kwa kufikiri nje ya box peke yake. Maisha yako yataanza kubadilika pale tu utakapoanza kuchukua hatua. Utakapoanza kufanya kwa vitendo vile unavyoviwaza. Utakapoanza kuchukua fursa zinazokujia. Na wakati sahihi ulikua ni jana ila wakati mwingine sahihi zaidi ni leo. Haijilishi muda umeshakupita chukua hatua […]

Kujua ni Kufanya

Hata ukisoma vitabu 100 vya kuogelea huwezi kujua kuogelea bila ya kuingia kwenye maji.  Ili ujue na ufahamu vizuri changamoto zilizopo kwenye maji unatakiwa uingie kuogelea sio kwa kuambiwa na wengine, sio kwa kuuliza. Na hili sio kuogelea peke yake ukitaka kufahamu kitu chochote lazima uingie ndani ufanye katika kufanya utapata uzoefu, ujuzi, na ufahamu […]

Usijifananishe na wengine.

Moja wapo ya vitu vinavyofanya watu wakose furaha katika safari hii ya maisha na mafanikio ni kujifanananisha na wengine. Unakuta mtu anajiona yeye si kitu pale anapokutana na mtu mwenye vitu zaidi ya yeye alivyo navyo. Mfano mzuri ni kipindi hiki watu wengi wana simu aina ya smartphone. Mtu anajihisi ili aonekane wa maana itabidi […]

Tengeneza Historia Mpya.

Katika vitu ambavyo hatuwezi kuvibadili katika maisha yetu ni historia huwezi kubadili tena vile vitu ulivyowahi kuvifanya jana,  juzi na miaka iliyopita.  Kitu cha muhimu ni wewe  kuweza kugundua kwamba ulikosea wapi na uanze kutumia wakati huu ulionao sasa kufanya yaliyo sahihi.  Hata uwe umefanya mabaya kiasi gani huwezi kuyafuta huwezi kubadili chochote unatakiwa utambua […]

Ni nini kitasababisha watu walie siku ya kufa kwako?

Watu wengi huchukulia maisha ni kitu cha kawaida sana mpaka wanaamua kuishi kula, kuzaa na kusubiria siku ya kufa basi. Ukweli ni kwamba kama ulikua unawaza hivyo umeshapotea na kama umeweza kusoma hapa leo basi ni wakati wako wa kutafuta njia sahihi, ni wakati wako wa kujitafuta wewe mwenyewe. Kama kuna kazi ambayo ni ngumu […]