Ni nini kinakufanya wewe ufanye kazi kwa bidii?

Katika maisha yetu kila siku tuna watu wanaofanya kazi kwa bidii sana kila siku kwenye ajira zao, kwenye biiashara zao, kwenye vipaji vyao na kadhalika. Kitu  kinanachowatofautisha watu hawa mara nyingi ni matokeo ya kile wanachokifanya. Kila mmoja atapata kutokana na alichokitoa. Mara nyingi nikikutana na watu wengi hua napenda kuwauliza swali hili, “Ni kitu […]

MAMBO YA MUHIMU KUTAZAMA ILI TUWEZE KUONA MWANGAZA WA MAFANIKIO KILA WAKATI

Tangaza msamaha Tangaza msamaha kwa waliokutendea mabaya yeyote kwenye maisha yako.Ulitelekezwa ukiwa mtoto mdogo tangaza msamaha leo. Uliumizwa na mpenzi wako uliempenda sana hata ukasema hutakaa umsamehe tangaza msamaha leo. Ulidhulumiwa chochote na mtu mtangazie msamaha leo. Ulifukuzwa kazini kwa hila watangazie msamaha leo. Hakikisha huna kinyongo chochote na mtu moyoni mwako. Nakuhakikishia mambo yako […]

Vitu 7 vya muhimu kufahamu ili uweze kusonga mbele.

Kuna vitu saba vya muhimu ambavyo ni lazima uvijue ili uweze kuanza kusonga mbele kimaisha.  Ukiweza kuvichukua na kuingiza kwenye maisha yako utaona matokeo yake. 1.ELIMUKitu cha kwanza kwenye vitu FISA ni Elimu.  Tunapozungumzia elimu hatumaanisha uwe na elimu ya chuo kikuu au ujue kila kitu hapa unatakiwa uwe na ufahamu wa kutosha juu ya […]

Fanya tena

Matokeo ya kile unachokifanya yanaweza yasitokee kama ulivyotarajia au kupanga haimaanishi kwamba unachokifanya sio sahihi.  Kuna kua na sababu nyingi za kile ulichofanya kinapokuja na matokeo tofauti. Inawezekana wewe ndie mwenye tatizo. Kabla hujaamua kuacha kufanya au kutafuta njia nyingine kaa chini utafakari ili ufahamu chanzo halisi cha tatizo. Watu wengi hukata tamaa haraka sana […]

Unawezaje kubadili hali uliyonayo sasa hivi?

Kabla hujaanza kubadili chochote lazima ufahamu chanzo cha hali uliyonayo kimesababishwa na  nini. Ukweli ni kwamba mfumo wako wa maisha unajengwa na mambo haya yafuatayo. FIKRAKila kitu kinaanzia kwenye mawazo/fikra zetu kama unajiona upo kwenye hali mbaya sana kipindi ujue imesababishwa na mawazo uliyoyawaza kipindi Fulani. Kama kuna kitu cha muhimu cha kuchunga ni mawazo […]

Fanya maamuzi.

 Tatizo kubwa tulilonalo hapa nchini sio pesa. Tatizo kubwa tuna watu wengi ambao ni waoga kufanya maamuzi. Mtu anakutana na fursa nyingi anahamasika Lakini tatizo lipo kwenye kuchukua hatua. Upo hivyo ulivyo leo kwa sababu ya maamuzi uliyoyafanya siku za nyuma pia vile vile upo vile ulivyo haujaendelea, kwa sababu ya woga uliogopa Kufanya maamuzi […]

Piga Hatua Nyingine

Habari za leo rafiki yangu mpendwa ni furaha yangu kuona wewe ni mzima na umeweza kusoma ujumbe huu leo. Karibu sana. Katika maisha jambo linaloleta furaha mara nyingi hua ni pale unapokamilisha jambo ulilolianza. Umeweka malengo yako makubwa na ukaweza kuyafanikisha yote lazima uwe na furaha. Lakini haitakiwi uishie kwenye kufurahi tu kwa maana safari […]

Sifa za watu waliofanikiwa. (1)

Kama tunavyofahamu kwamba kila kitu kilichopo ndani ya maisha ya mtu ni matokeo ya vitu alivyokua akivifanya huko nyuma, yaani kama una afya  mbovu, kuna uzembe ulifanya  labda hukula chakula bora, hufanyi mazoezi n.k. hivyo hivyo kwenye upande wa kifedha kama kwa sasa una tatizo la pesa ni matokeo ya uzembe ulioufanya muda uliopita. Tuankwenda […]

Ona Kila unachokutana nacho kama fursa.

Tanakutana na vitu vingi sana katika maisha yetu ya kila siku, tunakutana na changamoto mbali mbali kwenye kila tunachokifanya. Watu wengi wanapopitia matatizo wanaishia kulalamika na kulaumu mwisho wa siku matatizo ndio yanakua mengi Zaidi. Leo ningependa tujaribu kubadili mtazamo wetu juu ya kila kitu tunachokutana nacho kiwe kizuri au kibaya jaribu kukiangalia kama fursa. […]

Jinsi ya Kukuza Biashara yako.

Habari za Jumapili ndugu msomaji wetu. Leo tutakwenda kuona ni jinsi gani unavyoweza kutengeneza wateja kwenye mtandao wako wa blog au mitandao ya kijamii.  Kama kawaida tumeshasema kwenye hii mitandao imebeba watu wa kila aina watu wa rika zote ni wewe tu ujue unawezaje kuwafikishia huduma/bidhaa yako. Hapa tutakwenda kuona njia mbalimbali:1. Toa maelezo jinsi […]