533; Kabla Hujachukua Jiulize Ulicholeta.

Watu wengi huja kwenye Maisha yetu wakiangalia ni kitu gani watapata na ndio maana mara nyingi ukiwa huna chochote huwezi kuwa na watu wengi waliokuzunguka. Natamani wewe usiwe kama watu wa aina hii. Embu nenda kwenye Maisha ya wengine ukiwa na kitu cha kuwapa. Kila mtu ana kitu cha kutoa kwa wengine. Kinachotuzuia ni Ubinafsi. […]

519; #HEKIMA Hii ndio Sababu ya Kupoteza Furaha.

“It isn’t what you have or who you are or where you are or what you are doing that makes you happy or unhappy. It is what you think about it.”― Dale Carnegie, How to Win Friends and Influence People Mwandishi Dale Carnegie anasema katika kitabu chake kwamba, SIO KILE ULICHONACHO AU VILE ULIVYO AU […]

MAMBO 5 YANAYOKWAMISHA WATU WENGI.

Habari Rafiki, leo tena tunakutana kwenye Makala yetu ya MBINU ZA MAFANIKIO. Tunaangalia mambo ambayo yamekuwa ni sababu ya watu wengi kukwama kimaisha. Ninaposema kukwama namaanisha vile mtu anakuwa kwenye hali moja kwa muda mrefu. Pata Kitabu: SIRI 7 ZA KUWA HAI LEO Kama ni kazi anafanya basi anakuwa hana mabadiliko yeyote ya nje au […]

MAMBO 6 YANAYOIBA FURAHA YAKO.

Jiunge na Mtandao Huu Uwe Unapokea makala nzuri kama hii moja kwa moja kwenye email yako Weka email Yako hapa Habari Rafiki, natumaini unaendelea vyema na kupambana ili Ndoto yako itimie. Usikubali kabisa kuishia njiani, wako wengi wanakutazama na watakuja kunufaika sana na hicho unachokifanya. Leo tunajifunza mambo sita ambayo yamekuwa yanaiba furaha yako bila […]

JINSI YA KUANDIKA MALENGO YAKO NA KUANZA KUYATIMIZA KIRAHISI ZAIDI.

Habari za Leo. Ni furaha yangu kuwepo pamoja na ninyi hapa siku ya leo. Kabla hata hujaweka malengo yako ya mwaka huu jiulize maswali haya ya muhimu. Umeshajua kwanini Upo duniani? Una Maono gani juu ya hilo lililokuleta hapa duniani? Ukishapata majibu ya maswali hayo mawili tunaweza kuendelea kujifunza kwenye somo letu la kuweka malengo. […]

HATUA YA 296: Vile Unavyofikiri Juu ya Vitu Ndio Inaamua Furaha au Huzuni.

Very little is needed to make a happy life; it is all within yourself, in your way of thinking. -Marcus Aurelius. Mwanafalsafa huyu anatuambia ni vitu vidogo sana vinakukuhitaji ili uwe na furaha ya Maisha, na vitu hivyo vipo ndani yako katika namna unavyofikiri. Furaha au huzuni hailetwi na matukio yanayotokea bali ni namna ambavyo […]

HATUA YA 293: Ulichonacho Sasa Ulishawahi Kutamani Kuwa Nacho.

Do not spoil what you have by desiring what you have not; remember that what you now have was once among the things you only hoped for. -Epicurus Moja ya mambo ambayo yanawafanya watu washindwe kuishi Maisha ya furaha hapa duniani ni kutokujua ni vitu gani wanataka. Unaweza kukuta mtu anapata kila anachokitafuta lakini bado […]

SEHEMU 4 UNAZOTAKIWA UWE BORA KILA SIKU ILI UISHI KWA FURAHA.

Mojawapo ya sehemu ambayo utakosea ni kusahau sehemu hizi nne za muhimu kwenye maisha yako ambazo unatakiwa uwe bora kila siku. Unajua ili uweze kuwa na mwili mchangamfu na wenye afya hutakiwi kula chakula kizuri pekee yake, lazima utatakiwa uwe unaufanyia usafi mwili, pia ufanye na mazoezi. Kama utakula peke yake ukasahau kuufanyia usafi mwili […]

Mambo 9 ya Kufanya ili Uishi Maisha yenye Furaha Siku Zote.

Habari ya leo rafiki yangu na msomaji wa Makala hizi. Ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na safari ya mafanikio. Katika Makala yetu leo nitakwenda kukushirikisha vitu 9 vya kufanya ili uweze kua na maisha yenye furaha. Kwenye maisha zipo  chngamoto nyingi tunazozipitia na zinasababisha tuishi maisha ya wasiwasi,huzuni na woga wa kesho ukiweza kufanya […]