Nguvu ya maamuzi tuliyonayo na inayoamua juu ya maisha yetu.

Kila mwanadamu ana maamuzi ya mwisho juu chochote anachokiwaza na maamuzi anayoyachukua. Yaani kama umeamua kuamka saa kumi na moja ni wewe mwenyewe unaamua kutokuamka au la hakuna mtu mwingine anaweza kuja kukufanya uamue kuendelea kulala au kuamka ni wewe unakua na maamuzi yote hata kama mtu atakuja kukuamsha kwa nguvu bado una maamuzi ya […]

Umechagua Nini?

Kila kitu kina kinyume chake hapa duniani, kila kitu kina pande mbili wewe umechagua upande upi? Umechagua kua wapi? Kuna Umaskini na Utajiri, kuna furaha na huzuni, wingi na uchache, kukosa na kupata, Kila unachokipitia sasa hivi kina pande mbili na upande uliopo umechagua mwenyewe inawezekana kwa kujua au bila kujua. Kwanini uchague upande mbaya […]

#Kukosea #Hasara #Changamoto.

Watu wengi tumekuwa tu nataka  vitu ambavyo tutafanya tupate matokeo bora peke yake tu.  Kama ni biashara mtu atataka biashara isiyo na hasara yaani yeye tokea ana ianza hadi mwisho asipate hasara yeyote apate mafanikio peke yake.   Ukweli ni kwamba hakuna na kama ipo basi haina thamani kubwa.  Unatakiwa uelewe kwamba kupata faida na […]

#Hujamaliza Kazi.

Kila kitu kina sababu ya kuwepo kwake duniani mpaka leo.  Wewe pia uko duniani kwa sababu  hauko duniani kwa bahati mbaya.  Weqw kupumua leo ni sababu pia yapo mambo yanakupasa uyafanye. Je umeshatambua kwanini upo hai leo? #HujamalizaKazi ndio Hujamaliza kazi uliyotumwa Kuifanya duniani. Na kama bado hujaitambua kazi mimi siweze kukuambia kazi yako rudi […]

Linda ndoto yako:

Mojawapo ya vitu ambavyo huwarudisha nyuma na kuwafanya wakate tamaa haraka ni kukosa ndoto au kukata tamaa kwenye ndoto zao. Ndoto ni nini? Ndoto ninayoizungumzia sio ile unaota ukiwa umelala bali ni ile ambayo inakufanya usilale. Kila mtu ana ndoto ya aina yake na za aina mbalimbali mfano unaweza kua na ndoto ya kuishi kwenye […]

Ushindi ni lazima kwako amua hivyo na anza kupambana.

Haijalishi unapitia hali gani sasa hivi wewe ni mshindi vita bado haijaisha mapambano bado hayajaisha endelea kupambana mpaka mwisho. Haijalishi umelala njaa jana sio  mwisho wa mapambano endelea kupambana tafuta njia nyingine mpya lakini utazamie kufika mwisho uleule. Haijalishi huna nini sasa hivi lakini bado inawezekana wewe kushinda nikupe moyo kwa yale unayoyapitia inawezekana ni […]

Jinsi ya Kuishinda Tabia ya Kuahirisha mambo.

Tabia moja ambayo inawarudisha wengi nyuma ni tabia ya kuahirisha mambo. Na kuahirisha ipo karibia kila sehemu kuajiriwa, kujiajiri, mambo yako binafsi, karibia kila mahali tabia hii inaingia na imewasababishia watu wengi sana wabaki vile walivyo kwa sababu ya kuahirisha. Umekutana na fursa nzuri sana ikakuhamasisha ukirudi nyumbani yanaanza kukujia mawazo “kwanza sio lazima nianze […]

Tunaiona Dunia Jinsi tulivyo sisi na sio jinsi Ilivyo:

Tumekua na tabia ya kulalamika na kulaumu sana kwamba dunia ni mbaya, maisha ni magumu, Hali ni mbaya lakini ukweli ni kwamba wakati wewe unalalamika na kulaumu hivyo. Wako wenzako kwenye dunia hii hii na inawezekana kwenye mazingira hay ohayo ya kwako anafurahia maisha na kuiona dunia yenye furaha na Amani. Kila mtu anapitia hali […]

Chagua kulipa gharama sasa hivi au uje ulipe baadae

Kwenye maisha yako chochote kinachoendelea sasa hivi kilisababishwa na mambo uliyoyafanya huko nyuma.  Yawe mabaya au mazuri unahusika kwa kiasi kikubwa kwa kinachoendelea sasa. Kama ni hivyo basi kwa chochote unachokifanya sasa kitaleta matokeo baadae jiulize unafanya nini sasa hivi na unatarajia matokeo gani baadae?  Kama unataka mambo makubwa Kwenye maisha yako anza sasa kulipia […]

Upo tayari kupoteza ulivyonavyo upate vingine?

Rafiki yangu mpendwa ni kwamba kwa chochote kizuri unachokitaka kwenye hii dunia lazima ulipe gharama, kwenye gharama watu hua wanakimbia. Ukitaka mafanikio makubwa kuna vitu inakubidi uviache. Ukae mbali navyo.  Upo tayari kupoteza marafiki zako ulionao sasa hivi ili uweze kwenda hatua nyingine kuna watu inakubidi uwaache nyuma, upunguze ukaribu wako na wao, sikwambii muwe […]