Subiri lakini Jiandae..

Unatakiwa kuwa na subira ili wakati wa kufanikiwa kwako huku ukijiandaa kupokea yale mafanikio yako. Umejiandaa kwa kiasi gani? Uko tayari kubeba kiwango gani? Makwazo na changamoto utayaweza? Kuna mengi utakutana nayo una kifua cha kubeba? Lazima ujiandae katika lile unalolitaka kwasababu ukishindwa kujiandaa utajikuta unashindwa kubeba. Lazima uandae ufahamu wako kwa ajili ya mabadiliko […]

Hii Ndio Dhambi Mpya Hutakiwi Kuitenda Mwaka 2018.

Wakati tumebakiwa na siku tatu pekee tufikie mwaka mpya 2018 nimeona nikueleze juu ya dhambi hii mpya ambayo unatakiwa usiitende kabisa kwenye Maisha yako kuanzia mwaka 2018. Kwanza kabisa najua umeshaweka malengo yako na mambo mengine mengi lakini unapaswa kujua kwamba kama hutaweza kuweka bayana vitu ambavyo hutavifanya mwaka 2018 basi hivyo ulivyosema utakwenda kufanya […]

HATUA YA 288: Upo Tayari?

Unachokifanya sasa hivi kama kinatoka ndani ya moyo wako upo tayari kukifanya hadi unakufa hata kama hutapata chochote? Hili limekuwa ni swali moja gumu sana kujua kama watu wanaosema wanapenda wanachokifanya wanapenda kweli au ni maneno. Kama utakosa chochote kusifiwa, kulipwa, kupongezwa na bado ukaendelea kufanya inaonyesha kweli umejitoa kufanya kile unachokifanya. Je upo tayari […]

JINSI YA KUJIJENGEA TABIA YA KUWA MSOMAJI WA VITABU KILA SIKU.

Habari za leo Rafiki yangu na msomaji wa mtandao wa USIISHIE NJIANI? Ni matumaini yangu kuwa bado hujaishia njiani kwenye safari yako ya mafanikio. Kila siku kuna hatua unapiga kutokana na yale unayojifunza hapa kila siku. Leo tunakwenda kuona ni jinsi gani ya kujijengea tabia ya kujisomea vitabu kila siku. Mojawapo ya changamoto kubwa inayowakumba […]

HAPA NDIPO UNAKOSEA KUHUSU JANA YAKO.

Habari Rafiki, karibu kwenye somo letu la leo ndani ya mtandao huu. Kuna kitu unakwenda kujifunza leo kwenye mtandao huu. Unajua siku ikishapita imepita lakini kuna kitu kimoja unaweza kuendelea kukosea usipokijua. Ni kweli huwezi kubadili chochote  kwenye Maisha ambayo umeshayaishi bali unaweza kutengeneza Maisha mapya ambayo unayataka tena. Utakosea sana kama jana itapita bila […]

TUNAKUTAKIA SIKU KUU NJEMA na UJUMBE MAALUMU KWAKO.

Habari za leo Rafiki yetu mpendwa. Ni matumaini yangu kwamba umeanza vyema siku kuu yak o leo. Sisi kwa pamoja kama uongozi wa USIISHIE NJIANI tunakutakia siku kuu njema. Ujumbe kutoka kwa Mwalimu Jacob Mushi ”Kwenye siku kuu hizi pamoja na kufurahi sana kile ambacho umekifanya kwa mwaka mzima unatakiwa pia uutumie muda huu kutafakari […]

NILICHOJIFUNZA KWENYE MAISHA YA WENGINE MWAKA  2017. (SEHEMU YA 1)

Moja ya jukumu kubwa nililojipa kwa mwaka huu 2017 ilikuwa ni kujifunza kwenye Maisha yaw engine, na hapa ni kuona namna gani wanavyoendesha Maisha yao kuanzia ndani hadi nje. Yapo mengi sana kama binadamu unaweza kujifunza kwenye Maisha ya wenzako kwasababu tumeumbwa tofauti, tumekulia kwenye mazingira tofauti na kila mmoja ana kusudi la yeye kuwepo […]

USIRUDIE TENA AU USIJARIBU KOSA HILI MWAKA 2018

Katika Maisha tunakutana na watu ambao wanaweza kuwa baraka sana kwenye Maisha yetu hadi tukajisahau kwamba kuna siku wataondoka. Ninaposema kuondoka simaanishi kufa namaanisha kuna siku hawatakuwa pamoja nasi kama walivyokuwa nasi mwanzo. Kosa ambalo unaweza kulifanya na likasababisha uje kujuta Maisha yako yote ni kuwapa utegemezi mkubwa watu ambao hawadumu maishani mwako. Lazima ujifunze […]

HATUA YA 269: Huhitaji Kikubwa Sana.

Mara nyingi tunafikiri ili ufikie hatua kubwa kwenye maisha lazima uanze na mwanzo ambao ni mkubwa sana. Usifikiri kwamba ukiwa na vitu Fulani na Fulani basi ndio maisha yako yatakwenda vizuri. Kama umeshindwa kutumia rasilimali ulizonazo sasa hivi hata ukipewa kubwa bado utashindwa na unaweza ukaharibu badala ya kutengeneza. Uwezo wako unapimwa kwa namna ambavyo […]

HATUA YA 268: Swali La Kujiuliza Unapojua Unachokitaka.

Kujua kile unachokitaka ni jambo la kwanza, kinachofuata ni kufahamu gharama ambazo unapaswa kulipa ili kufika pale unapotaka. Wengi wanaishia kwenye kujua wanachotaka na kukata tamaa baada ya kuambiwa gharama wanazotakiwa kulipa.   Ni vyema ukajiuliza maswali haya na ukapata majibu yake wakati unaanza safari yako. Unajua gharama gani unapaswa kulipa ili ufike unakotaka kwenda? […]