Kwanini mafanikio ni lazima kwako?

Habari za leo msomaji wetu ni matumaini yangu unaendelea vyema na harakati za kutafuta mafanikio. Leo tunakwenda kujifunza sababu za muhimu wewe kufanikiwa.karibu sana tujifunze pamoja. Pesa sio kitu cha muhimu sana duniani lakini inagusa sehemu nyingi za muhimu katika maisha yetu hapa duniani. Mungu anawapenda maskini kwa sababu anataka watoke kwenye umaskini wao na […]

Iko wapi ndoto yako? Soma zaidi hapa…

Habari mpenzi msomaji wa makala zetu. Ni uhakika wangu kuwa uko vizuri kabisa. Hata mimi pia hadi wakati huu ninapoandika makala niko njema kabisa. Hili ni jambo la kumshukuru Mungu wetu. Leo katika mfululizo wa makala zetu nimependa kuja na swali hili, “IKO WAPI NDOTO YAKO?” Kama unavyojua sote tulizaliwa na ndoto/maono ya kufanya au […]

Kuwa wa Kipekee maana wewe ni wa Pekee

Habari ya leo ndugu msomaji wetu mzuri ni matumaini yetu kuwa unaendelea vyema na maisha yako. Karibu tuanze week end kwa kujifunza pamoja. Kuwa wa kipekee maana wewe ni wa pekee. Tunasema wewe ni wa pekee maana hakuna mwingine kama ww huku duniani hata kama mnafana sura na majina. Wewe unayo nafsi yako peke yako […]

Penda Mafanikio ya Wengine

Ukitaka kufanikiwa penda mafanikio ya wengine. Habari ndugu msomaji wetu ni matumaini yangu unaendelea vyema. Leo tunazungumzia kuhusu mafanikio.Kila mmoja wetu anatamani kufanikiwa pale mahali alipo. Nikuulize swali hua unafurahia mafanikio ya wenzako? Ukitaka kufanikiwa penda mafanikio ya waliofanikiwa. Huwezi kuwa na kitu unachokichukia huwezi kua tajiri kama unawachukia matajiri. Wiki iliyopita nilikua na rafiki […]

Msaada wako utatoka wapi wakati wa shida?….

Habari ndugu msomaji wa mtandao huu karibu tena katika makala ya leo. Ni matumaini yangu unaendelea vyema na maisha yako. Leo ningependa tujiulize swal moja… Msaada wako utatoka wapi wakati wa shida? Karibu sana. Katika hali ya kawaida najua hii wengi wanayo unapopata tatizo la kifedha leo ni nani wa kwanza kumfikiria wa kukupatia fedha […]

Leo Ndio Yako…

Habari ndugu msomaji wa makala zetu. Ni matumaini yangu unaendelea vyema na mapambano ya maisha. Tunamshukuru Mungu tunapokea ujumbe kwenu kua makala hizi zinafundisha. Tutaendelea kufanya hivyo kwa utukufu wa Mungu. Leo ndio yako  huna siku nyingine uliyonamatumaini nayo zaidi ya leo. Kwa kama kuna jambo umeliweka kwenye ratiba ya leo lifanye kwa bidii zote […]

Hakikisha Siku haipiti hujafanya haya…..

Habari za leo ndugu msomaji wa blog yetu. Ni matumaini yangu unaendelea vizuri katika maisha yako. Tunakuombea Mungu ufanikiwe. Leo tunangalia vitu vya kufanya  ili uweze kuendelea kufanya mambo na ufanikiwe ” ISIPITE SIKU HATA MOJA HUJAONGEZA THAMANI YAKO”  Katika maisha yako jitahidi siku nzima isipite hujafanya mambo haya yaani ili kuongeza thamani yako kwako […]

Ukiondoka leo unaacha alama gani duniani?

Habari ndugu msomaji natumaini u mzima wa afya na karibu sana.  Leo tunaendelea kujifunza pamoja topic ya leo inasema asikudanganye kua muda bado upo. Maisha ya sasa yamekua mafupi sana watu wanapoteza maisha kila siku tunabaki kujiuliza lini itakua ni mimi. Leo ninakwenda kukueleza kua acha sasa kujiuliza lini utaondoka bali anza kufanya maandalizi ya […]

UNAJUA NI KWA NINI UMESHINDWA? SOMA HAPA

“UNAJUA KWANINI UMESHINDWA” Habari ya leo msomaji wetu. Tunashukuru kwa kuendelea kututia moyo kwa kusoma pamoja nasi. Ubarikiwe sana. Leo tuna jifunza “unajua kwanini umeshindwa?” Unajua kwa nini biashara ulioianza ulishindwa? Kwanini kipaji chako umeshindwa kukiendeleza? Kwanini ulitamani sana kufanya jambo fulani zuri lakini limeshindikana? Kwanza kabisa kama hujalifanya hilo jambo unalozani umeshindwa basi ujue […]