#USIISHIE_NJIANI: KUWA MTU WA SHUKURANI.

Habari rafiki, Umeanzaje siku yako? Umefanya mazoezi? Umesoma kitabu? Pamoja na hali uliyonayo sasa hivi yaani hujafikia malengo yako kwa kiasi kikubwa bado una mengi ya kumshukuru Mungu. Embu watazame wasio na uwezo kama wako, watazame wanaokosa kula lakini wewe hujakosa mlo hata mara moja. Watazame wanaokosa maarifa kama haya, hawajui wafanye nini, hawana mtu […]

SEHEMU 4 UNAZOTAKIWA UWE BORA KILA SIKU ILI UISHI KWA FURAHA.

Mojawapo ya sehemu ambayo utakosea ni kusahau sehemu hizi nne za muhimu kwenye maisha yako ambazo unatakiwa uwe bora kila siku. Unajua ili uweze kuwa na mwili mchangamfu na wenye afya hutakiwi kula chakula kizuri pekee yake, lazima utatakiwa uwe unaufanyia usafi mwili, pia ufanye na mazoezi. Kama utakula peke yake ukasahau kuufanyia usafi mwili […]

HATUA YA 236 Wewe Upo Kundi lipi?

“Strong minds discuss ideas, average minds discuss events, weak minds discuss people.”  ― Socrates Mwanafalsafa wa zamani sana aitwaye Socrates aliwahi kusema akili kubwa zinajadili mawazo, akili za kawaida zinajadili matukio na akili ndogo zinajadili watu. Ni miaka mingi sana imepita lakini haya maneno bado yanaishi. Kwenye jamii zetu bado tunaona watu wakifanya mambo yale yale […]

HATUA YA 235: DUNIA IMEJITOSHELEZA.

Ni ajabu sana kuona watu wakigombana kwasababu ya mali au vitu ambavyo vinaweza kupatikana kwa kutafuta kwa bidii. Ni jambo la kushangaza kuona mtu anamchukia mwenzake kwasababu amemzidi kipato au kiwango cha mafanikio. Inashangaza na kusikitisha mno kuona watu wanauana kwasababu ya vitu ambavyo vinaweza kupatikana endapo tu mtu atasimamia kile ambacho Mungu ameweka ndani […]

HATUA YA 233: Wewe Unafanya Kitu gani kati ya Hivi?

Kutengeneza Pesa na Kutafuta Pesa. Mojawapo ya njia ya kujitengenezea umaskini siki zote za maisha yako ni kubakia unatafuta pesa maisha yako. Kama unataka ufikie uhuru wa kifedha lazima ujue kuzitengeneza fedha. Tunaposema kutengeneza fedha sio kuwa na mashine inayochapa pesa bali ni kuwa na njia zinazoweza kutengeneza pesa hata kama wewe hutaweka nguvu yako […]

HATUA YA 232: Fanya Kila Siku.

Chagua kitu ambacho utakifanya kila siku hadi kikutoe. Chagua vitu ambavyo utavifanyia kazi kila siku hadi uwe bora. Ni kwambie ukweli kama siku inapita na hakuna kitu ulichokifanya kinachoelekea kule unakotaka kwenda basi umeipoteza siku yako. Umepoteza pesa nyingi sana ambazo ulipaswa kuzipata miaka michache ijayo. Andika kwenye NoteBook yako ni sehemu gani wewe uko […]

HATUA YA 231: Mgodi Pekee unaomiliki hapa Duniani ni Huu.

Kila mwanadamu amezaliwa akiwa amekamilika ndani yake. Hata kama atazaliwa bila ya viungo baadhi kwenye mwili wake lakini bado anakuwa amekamilika katika vitu vya muhimu sana kwenye maisha yake. Ni hatari sana kuwa na viungo vyote vya mwili halafu ukashindwa kutambua na kutumia mgodi ambao ulipewa wakati unakuja hapa duniani. Mgodi huu unao na ni […]

HATUA YA 221: Jifunze kwa Mgahawa wa Maisha

Mimi binafsi ninapokwenda mgahawani kwa ajili ya kupata chakula au kinywaji nikifika nikashindwa kuhudumiwa vizuri hua ninaondoka. Kwasababu gani? Kwasababu kama huwezi kunishawishi ninunue kwanini nikupe hela yangu na hujafanya chochote cha ziada. Kwasababu mimi binafsi sijaichukua mahali kama unavyotaka kuichukua kwangu. Sasa Maisha nayo ni kama mgahawa, ni mgahawa ambao una kila kitu ambacho […]

HATUA YA 206: Maisha Halisi na Maisha ya Picha.

Siku hizi tumefikia sehemu ambayo kila mmoja anaweza kuonyesha kile anachokifanya kwenye mitandao ya kijamii. Hii imefikia hadi watu kuonyesha tabia zao na pia jinsi wanavyoishi.  Sasa kwasababu ni rahisi sana kuweka picha nzuri akiwa anakula, akiwa hoteli ya ghali, akiwa na furaha sana na mpenzi wake, wewe mtazamaji wa picha ile utaona kama Maisha […]

HATUA YA 205: Ukijikuta Kwenye Shimo.

Warren Buffett — ‘The most important thing to do if you find yourself in a hole is to stop digging.’ Kitu cha Mhuhimu sana cha kufanya pale unapojikuta kwenye shimo ni kuacha kuchimba. Shimo lako linaweza kuwa ni madeni, mahusiano mabovu, marafiki wabaya, na Maisha yasiyo na mwelekeo. Ukijikuta wewe ni mlevi dawa ni kuacha kunywa pombe la […]